Dunia haiishi vituko, huko nchini uingereza bwana mmoja amenaswa na polisi akijaribu kumnunulia changudoa mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 14 ili akale nae uroda. stori kamiliDad tried to...
Ninapenda kujua kama malipo yanayoitwa Mkakati kwa shule ya msingi kwa wanafunzi wa darasa la nne na saba ni halali.
Kwa mfano katika Kata ya Oloirien - Manispaa ya Arusha watoto wanalipa Sh...
MwanaHalisi wajiandaa
19 May 2009 4 views No Comment
Kubenea; Tutaiomba Mahakama itupilie mbali hukumu
Na Mwandishi Wetu
WAKATI Mahakama Kuu ya Tanzania ikiwa imeamuru gazeti la...
kwa mara nyingi zikifikapo sherehe za Mungano utaona picha za wasisi wa Mungano huo yaani Mwalim Julias na hayati Mzee abeid, na wakati mwingi utasikia vipande vya hutuba vya wasisi wao...
jAMANI NIMESIKITISHWA NAHABARI KUWA YULE ASKARI ALIYEJERUHIWA KWENYE MAPAMBANO NA MAJAMBAZI PALE K'KOO AMERUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI AKIWA NA RISASI ILIYOKWAMA MWILINI KWA KUWA HOSPITALI AU...
Idadi ya watoto viziwi Mbagala yafikia 1,600* Mkuu wa Mkoa sasa akiri , asema wamefikia 400
Waandishi Wetu
IDADI ya wanafunzi walioathirika na milipuko ya mabomu katika Shule za Msingi Mbagala...
Wekezeni, acheni kiburi cha umaarufu na fedha
Kwenu wadogo zangu.
Masanja, Joti, Mpoki, Wakuvwanga, McRegan, Seki na Vengu.
Nianze kwa kuwakumbusha msemo wa Kiingereza usemao "You can not be a...
ama kweli lowasa kaamuwa kuwa mtoto mzuri kuwakopesha vijana wa jimbo lake mikopo ya 'riba nafuu'. bila shaka nae kakopa toka benki baada ya kuwaonea vijana wake uchungu wa mwana. dah! 2010 iko...
Mapacha Justin na Jordan wana baba tofauti, wataambiwa mkasa wao wa ajabu watakapokua Monday, May 18, 2009 6:03 PM
Mama mmoja mkazi wa Texas nchini Marekani ambaye alitembea nje ya ndoa yake...
Tunavyotujitayarisha na uchaguzi wa mwaka 2010 ni vyema watanzania tujikumbushe misingi ya utanzania wetu na maana yake nini. Tunapochagua viongozi matumaini yetu juu ya ungozi wao ni yapi...
Unyama wa aina yake umetokea jana baada ya watu wenye silaha kali za kijadi kuvamia katika ofisi moja ya Serikali, kumtwaa mtu aliyekuwamo ndani na kumchinja kabla ya kumkata sehemu zake nyeti na...
na Sauli Giliard
SERIKALI imewaonya wanaotumia vibaya teknolojia ya mawasiliano ya habari (TEKNOHAMA) kwa kuwakashifu wengine na kuwadhalilisha viongozi.
Kauli hiyo...
Baba mmoja nchini Uingereza aliyekodisha kahaba wa barabarani ili amtoe bikira mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 14 kama zawadi yake kwa mtoto wake huyo amenusurika chupu chupu kwenda jela...
CHAMA Cha Walimu Tanzania [CWT] kimetishia kuweka kambi Ikulu kwa Rais Jakaya Kikwete mwishoni mwa mwezi huu, kwa walimu wote wa Mkoa wa Dar es Salaam endapo hawatapatiwa madai na malimbizo...
Hivi sisi ni binadamu kweli? Hebu angalieni huyu "mtuhumiwa" wa wizi akiponea chupuchupu kubanikwa.....
Cheki hii njemba inavyoonyesha kufurahishwa na kinachoendelea...
Kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.