Malipo ya Mkakati Shule ya Msingi ni Ufisadi?

Malipo ya Mkakati Shule ya Msingi ni Ufisadi?

Wambugani

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2007
Posts
1,757
Reaction score
277
Ninapenda kujua kama malipo yanayoitwa Mkakati kwa shule ya msingi kwa wanafunzi wa darasa la nne na saba ni halali.

Kwa mfano katika Kata ya Oloirien - Manispaa ya Arusha watoto wanalipa Sh. 1,200 kwa juma. Kiasi hicho kwa mwezi ukiweka na mitihani ya mwisho wa juma ni Sh. 5,000 x miezi 8 ni Sh. 60,000. Kiasi hicho ni zaidi ya ada inayolipwa kwa mwanafunzi wa shule ya Sekondari ambayo sio zaidi ya Sh.20,000/=.

Kwa wanafunzi 100 waalimu wanajikusanyia milioni 6 juu ya mishahara yao.
 
Back
Top Bottom