Hivi ni kweli?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli?!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaka Mkubwa, May 19, 2009.

 1. Kaka Mkubwa

  Kaka Mkubwa Senior Member

  #1
  May 19, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  jAMANI NIMESIKITISHWA NAHABARI KUWA YULE ASKARI ALIYEJERUHIWA KWENYE MAPAMBANO NA MAJAMBAZI PALE K'KOO AMERUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI AKIWA NA RISASI ILIYOKWAMA MWILINI KWA KUWA HOSPITALI AU MADAKTARI WENYEWE HAWANA UWEZEO AU UTAALAMU WA KUITOA.

  hILI MWALIONAJE JAMENI?
  mBONA VIGOGO TUNAWASIKIA MARA NYINGI TU ETI WANAENDA CHECK AFYA HUKU ABROAD?
   
Loading...