Tafakari...

Tafakari...

Invisible

Robot
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,285
Reaction score
8,464
attachment.php

Ni mapokezi ya Dr. Slaa huko Karatu...
 
Attachments

  • mabango_Sla.jpg
    mabango_Sla.jpg
    61.3 KB · Views: 215

Hawa walioandamana ndio wanachama wa vyama mbadala huko Busanda? Ndio hawa tunategemea wapige KURA kuidondosha CCM? Labda hawa wanaooneka hapa are only flag bearers, maelfu ya waandamanaji wanawafuatia.

Hao walioshika viuno huko pembeni mwa barabara wakiwasare wenzao wakiandamana ni wana Busanda kambi ya CCM?

Tafakari: Long odds kuiondoa CCM madarakani kama dalili ndio hizi.
 
Hawa walioandamana ndio wanachama wa vyama mbadala huko Busanda? Ndio hawa tunategemea wapige KURA kuidondosha CCM?

Hao walioshika viuno huko pembeni mwa barabara wakiwasare wenzao wakiandamana ni wana Busanda kambi ya CCM?

Tafakari: Long odds kuiondoa CCM madarakani kama dalili ndio hizi.
Hapana Mama,

Hawa walikuwa wanamsubiri Dr. Slaa huko Karatu.

Si Busanda...
 
Hapana Mama,

Hawa walikuwa wanamsubiri Dr. Slaa huko Karatu.

Si Busanda...

Ungeweka caption hata ya kiushkaji mkuu, utavunja watu moyo bure na ku create a domino effect coupled with a self fulfilling prophechy in a snowballing tumble turned into a falling avalanche of...

You know my steez...
 
Hawa walioandamana ndio wanachama wa vyama mbadala huko Busanda? Ndio hawa tunategemea wapige KURA kuidondosha CCM?

Hao walioshika viuno huko pembeni mwa barabara wakiwasare wenzao wakiandamana ni wana Busanda kambi ya CCM?

Tafakari: Long odds kuiondoa CCM madarakani kama dalili ndio hizi.

Thanks invisible

...but the photo doesn't represent a fair view of Busanda election vigilance; i would rather see the photos of campaigers rally rather than a few Busanda people posing for a photo shoot

Please, tumeona picha za akina Zitto, Slaa, Lipumba, Kilango etc wakiwa nyomi ya kucapa na mundu bana... The one you have posted ni ya Kararu pasipo na vuguvugu lolote la JOJO KWA WANAOHUSIKA

TAFAKARI: KILA JAMBO NA WAKATI WAKE, MWEZI HUU NA ULIOPITA NI BUSANDA BUSANDA... KARATU KARATU BADAE
 
Back
Top Bottom