vijisenti vya lowasa

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,849
2,670
ama kweli lowasa kaamuwa kuwa mtoto mzuri kuwakopesha vijana wa jimbo lake mikopo ya 'riba nafuu'. bila shaka nae kakopa toka benki baada ya kuwaonea vijana wake uchungu wa mwana. dah! 2010 iko karibu!
 
mkuu eleza basi, hiyo mikopo ikoje ikoje, vigezo vya kuipata, na kiasi amabacho mtu aweza kopeshwa. Mwaga mkuu tuone hiyo benki mpya ya aina yake!
 
Kwa hakika ya 80% atapata kura za watu wa jimbo lake...Wanampenda sana

hawa watu huku RichardMonduli...Wacha watu wake wafaidifaidi tuhela twake

fisadi huyu!!.

Lakini kitakachotustua wengi ni kama atajaribu kuvuka anga za jimbo lake na

kutaka kugombea urais 2015...hapo nitajua `he meant business!!
 
ama kweli lowasa kaamuwa kuwa mtoto mzuri kuwakopesha vijana wa jimbo lake mikopo ya 'riba nafuu'. bila shaka nae kakopa toka benki baada ya kuwaonea vijana wake uchungu wa mwana. dah! 2010 iko karibu!

Huyu anafahamika kwa strategies za Kiufisadi ufisadi. Hebu tueleze vizuri basi tuelewe na tuijadidli?
 
Mshike-mshike umeanza!

Ukizingatia mkuu wa kaya ni bubu... (i.e nchi inajiendesha yenyewe)
Baada ya 2010 mahakama zitakuwa na mashitaka mengi ya vijamboz vya uchaguzi.
 
  1. 1
Jamani tuelezeni hiyo mikopo ya riba nafuuuu ikoje koje?
  1. ANAKOPESHA KWA RIBA NAFUU AMEPATA KIBALI CHA KUFANYA HIYO BUSINESS/TRANSACTIONS KUTOKA KWENYE MAMLAKA HUSIKA? AU ANAFANYA KISANII KAMA MITAANI? ILA KWA STATUS YAKE ANAZIJUA VEMA SHERIA NA KANUNI ZA KURUHUSU KUTOA MIKOPO KWA RIBA.
  2. 1
  3. 1.2
HIZO FEDHA KAZITOA WAPI? NAJUA NITAJIBIWA KWENYE BIASHARA LAKINIIIIIIIII ..... mimi simo jamani, labda mwanakijiji atamsaili kidogo
 
Kwa hakika ya 80% atapata kura za watu wa jimbo lake...Wanampenda sana

hawa watu huku RichardMonduli...Wacha watu wake wafaidifaidi tuhela twake

fisadi huyu!!.

Lakini kitakachotustua wengi ni kama atajaribu kuvuka anga za jimbo lake na

kutaka kugombea urais 2015...hapo nitajua `he meant business!!

Wapi na Wapi Lowassa Agombee Wakati Dr. Shayo Na kundi lake wanawania Urais? si unaona wanaitana Marais watarajiwa 2015????
 
  1. 1
Jamani tuelezeni hiyo mikopo ya riba nafuuuu ikoje koje?
  1. ANAKOPESHA KWA RIBA NAFUU AMEPATA KIBALI CHA KUFANYA HIYO BUSINESS/TRANSACTIONS KUTOKA KWENYE MAMLAKA HUSIKA? AU ANAFANYA KISANII KAMA MITAANI? ILA KWA STATUS YAKE ANAZIJUA VEMA SHERIA NA KANUNI ZA KURUHUSU KUTOA MIKOPO KWA RIBA.
  2. 1
  3. 1.2
HIZO FEDHA KAZITOA WAPI? NAJUA NITAJIBIWA KWENYE BIASHARA LAKINIIIIIIIII ..... mimi simo jamani, labda mwanakijiji atamsaili kidogo

unfortunately kataget vijana wa jimbo lake tu lenye kata kama 10. So anachofanya ni kutoa mil 10 kwa kila kata na vijana wajiunge watano kupata mkopo hela ambayo bado ndogo sema kutokana na maisha ya monduli zinaweza kuwa nyingi. Alikozitoa bila shaka ni zile za richmond. Na kuhusu kujitanua hawezi kuthubutu, labda atumie wakala kufungua 'kabenki' kwa ajili ya bongo nzima. Jamaa bado anaamini kuwa atashika wadhifa siku moja. Once fisadi always fisad tu
 
Wapi na Wapi Lowassa Agombee Wakati Dr. Shayo Na kundi lake wanawania Urais? si unaona wanaitana Marais watarajiwa 2015????

Dr Shayo mimi binafsi bado sijamfahamu katika anga za

siasa,, unaweza kunifahamisha ni nani huyu na ana

umaarufu gani?..please!
 
Wapi na Wapi Lowassa Agombee Wakati Dr. Shayo Na kundi lake wanawania Urais? si unaona wanaitana Marais watarajiwa 2015????

Hey China Mzalendo can you please tell me who is this

Dr.Shayo? He sounds so new to me and iam completely

not used to him.

Dr Shayo mimi binafsi bado sijamfahamu katika anga za

siasa,, unaweza kunifahamisha ni nani huyu na ana

umaarufu gani?..please!
hapo ndipo wabongo mnaponikosha
ina maana mtu hawi rais mpaka awe maarufu?
bado tu hamjajifunza somo??????
 
Rais wa 2015 hata hajulikani kwa sasa....kabisaaa....wala sio hao wanaojipitisha pitisha....hatuwataki na ufisadi wao wanataka watufanyie nini??hatutaki heri tuwape watu wengine wapya wasio na makundi wala mitandao.....heri waje kina john mashaka au hata mwanakijiji....waunde serikali yenye kufufua uzalendo na mapenzi ya nchi yao...sio kujilimbikizia mali na kukumbatia wezi wenzao...hapana..................maombi yanahitajika sanma jk atupishe nchi yetu...kama kuandaliwa kote tangu 1976 na upuuzi huu kweli ni kilaza kabisa...inatosha kuchaguliwa rais na watu wasio na upeo wenye uroho wa madaraka....hatutaki tena.
 
Siyo kweli kuwa Lowassa anapendwa Monduli kwa 80% ila ana kikundi fulani cha watu wa kampeni zake za ulaghai cha kugawa fedha kwa lengo fulani.Kwa sasa amejikita Monduli kwa hofu ya kunyang'anywa jimbo hilo.Chadema wamejiimarisha sawa sawa na wana wagombea watarajiwa wazuri wasio na kashfa zozote.Ukweli ni kuwa 2010 Lowassa ataula wa chuya Monduli kutokana na kuchafuka kwa ufisadi utakaoanikwa zaidi 2010,hata sasa baadhi ya vibaraka wake wanamlia fedha tuu lakini hawana imani naye tena.Chadema msilaze damu vijana makini wapo wa kumuondoa Lowassa 2010.ni mwaka wa kuwangh'oa mafisadi mmoja baada ya mwingine.
 
ametoa kiasi cha shilingi 120 milioni kwa jimbo lake, vijana waungane watano watano wanaojuana wachague biashara ya kufanya then wapewe hizo hela hazina masharti ,ila wafanye biashara ambayo itawapa faida, na vijana wakatoa mifano kwamba watafanya biahsara za kuuza na kununua ng'ombe mbuzi, kondooo mnadani, biashara ya kuuza ngozi, niliwaona wanafurahia sana..
 
Back
Top Bottom