Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,087
- 143,300
Hivi sisi ni binadamu kweli? Hebu angalieni huyu "mtuhumiwa" wa wizi akiponea chupuchupu kubanikwa.....
Cheki hii njemba inavyoonyesha kufurahishwa na kinachoendelea...
Kwa mujibu wa Michuzi huyo bakoa ni askari kanzu...kibaka "mtuhumiwa" naona kapata second wind na kajichomoa kutoka kwenye mbaniko..
Mungu mkubwa (kama unamwamini)....kibaka "mtuhumiwa" kanyanyuka..
Poooow! Yuko chali....hana nguvu kabisa baada ya kisago kilichotolewa na "binadamu"...
Anajaribu tena kunyanyuka....angalia hao "binadamu" wanavyomwangalia...sijui walikuwa wanamwambia nini?
Anapanda kwenye gari...sijui wanampeleka wapi? Polisi?
Kipigo cha "binadamu" si mchezo. Hata kukaa hawezi...yuko kifudifudi...sijui kaishiwa nguvu au nini...me I dunno...
Sasa najiuliza hivi sisi tunathamini vitu au mambo gani hapa duniani? Vibaka watuhumiwa wanabanikwa. Mafisadi papa na nyangumi wanakula maisha kwenye viyoyozi...
Picha kwa hisani ya Michuzi: http://www.issamichuzi.blogspot.com/