Viongozi wa smz msijiachie na kujisahau | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa smz msijiachie na kujisahau

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babylon, May 19, 2009.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kwa mara nyingi zikifikapo sherehe za Mungano utaona picha za wasisi wa Mungano huo yaani Mwalim Julias na hayati Mzee abeid, na wakati mwingi utasikia vipande vya hutuba vya wasisi wao .Chakusikitisha na chakushangaza Mzee wetu Aboud jumbe aliunganisha ASP na TANU na kuwa CCM ,lakini hujapatapo hata siku moja kutokea wamvuwe madaraka, kusikia hutuba zake au hata kuoneshwa picha zake kama vile wanavyo fanyiwaa wasisi waliokwisha tangulia inapofika wakati wa mazimisho ya sherehe za CCM .Ninachotaka kusema hapa ni kutowa nasaha kwa SMZ wangalie wanapotoka na wapi waendako ,Mzee Aboud Jumbe alikidhi aliyoamrishwa leo tunaiona hatma dhidi yake (Hujafa hujaumbika ,Muamba ngoma huvutia kwake)kuna leo na kesho pia ikumbukwe kuwa Jamii inapo haribika haiharibiki ya mwenzio tu na hata yako itaharibika.
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  wosia wa baba wa taifa 1984 Dodoma.

  "Aboud huu ndo mwanzo na mwisho wako"
  "Ramadhani!! 1+1=3 kweli?"
  "ah! Hamadi (hutufai) bora uende kuwa mpinzani nje ya CCM"
   
Loading...