Dalili ya mvua ni mawingu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dalili ya mvua ni mawingu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mhache, Sep 4, 2008.

 1. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2008
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hali ya hewa katika jiji la Dar es Salaam ni ya mvua ya rasharasha. Haieleweki ndio mvua masika inaanza au nini? Kama ndio masika watu wa hali ya hewa waanze kutoa tahadhari kwa watu wa mabondeni.

  Ninchotaka kwaeleza hawa ndugu zangu wa mabondeni kama vile Jangwani na maeneo mengine ya mabondeni waanze kuhama kinyume na hapo mvua itwaondoa kwa mafuriko..

  Pia manispaa za Ilala, Kinondoni na Temeke ziweke mikakati ya kina ili kuwaokoa watu waishio mabondeni.
   
 2. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ni Mungu pekee ndiye mwenye utabiri wa uhakika wa hali ya hewa ... maana kweli haueleweki na kuna mabadiliko makubwa sana
   
 3. M

  Masatu JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Masika mwezi wa Tisa? mmh hii mpya au ndio mambo ya global warming....
   
 4. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2008
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  There is nothing as Global warming.
   
Loading...