Uwanja wa ndege wa jk

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Nimepata habari kwamba moja ya ndege ya kampuni ya atc huko mjini mwanza imelazimika kusitisha safari yake baada ya kupata madhara katika engine wakati ndege hiyo ilipotaka kuruka na ndege nyingine ya precision nayo imesitisha safari yake abiria wanalazimika kulala uwanja wa ndege usiku huu kampuni haina cha kuwafanyia hii balaa tupukama ni kweli basi kuna umuhimu wa kuundwa tume ingine ya kuangalia usalama wa ndege zote pamoja na viwanja vyote vya ndege kwa kweli hali ni mbaya sana katika vyombo vyetu vya usafiri

barabarani ajli mtindo mmoja katika meli nazo zinajaza abiria kuliko uwezo wake katika ndege nako ndio hivi hizi ndege nyingi zimenunuliwa kimizengwe na sasa madhara yake yameanza kuonekana hadharani
 
nimepata habari kwamba moja ya ndege ya kampuni ya atc huko mjini mwanza imelazimika kusitisha safari yake baada ya kupata madhara katika engine wakati ndege hiyo ilipotaka kuruka na ndege nyingine ya precision nayo imesitisha safari yake abiria wanalazimika kulala uwanja wa ndege usiku huu kampuni haina cha kuwafanyia hii balaa tupukama ni kweli basi kuna umuhimu wa kuundwa tume ingine ya kuangalia usalama wa ndege zote pamoja na viwanja vyote vya ndege kwa kweli hali ni mbaya sana katika vyombo vyetu vya usafiri

barabarani ajli mtindo mmoja katika meli nazo zinajaza abiria kuliko uwezo wake katika ndege nako ndio hivi hizi ndege nyingi zimenunuliwa kimizengwe na sasa madhara yake yameanza kuonekana hadharani

ushaanza.............................
 
Inastahili kuwa breaking nyuzi hii? Tena wewe shy unakaribia posts elfu 2. Kazi kweli kweli.
 
Shy kwa hadithi hatukuwezi ila tunakupongeza kwa ubunifu wako lakini angalia usiwe kwenye uhalisia unaweza ukawa unawaachuuza watu hapa JF na watu wakapaona kama sehemu ya UDAKU.
 
Kama ndege zimesitisha safari kwa sababu za kiufundi, then hiyo ni hatua nzuri, maana wanaonyesha wanajali usalama wa abiria/wateja wao.

Hali kama hiyo ni ya kawaida, tatizo ni ukosefu wa ndege za kutosha maana kama wangekuwa na ndege za kutosha wangepeleka ndege nyingine bila hata ya abiria kujua kinachoendelea. Hali kama hiyo hutokea kwa mashirika yote ya ndege.

Sasa tume ya nini?
 
Back
Top Bottom