Uwanja wa ndege wa jk na mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwanja wa ndege wa jk na mwanza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yona F. Maro, Sep 5, 2008.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Sep 5, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Nimepata habari kwamba moja ya ndege ya kampuni ya atc huko mjini mwanza imelazimika kusitisha safari yake baada ya kupata madhara katika engine wakati ndege hiyo ilipotaka kuruka na ndege nyingine ya precision nayo imesitisha safari yake abiria wanalazimika kulala uwanja wa ndege usiku huu kampuni haina cha kuwafanyia hii balaa tupukama ni kweli basi kuna umuhimu wa kuundwa tume ingine ya kuangalia usalama wa ndege zote pamoja na viwanja vyote vya ndege kwa kweli hali ni mbaya sana katika vyombo vyetu vya usafiri

  barabarani ajli mtindo mmoja katika meli nazo zinajaza abiria kuliko uwezo wake katika ndege nako ndio hivi hizi ndege nyingi zimenunuliwa kimizengwe na sasa madhara yake yameanza kuonekana hadharani
   
Loading...