Kwanini nyimbo za malaria, ukimwi, mafuriko etc hazinogi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini nyimbo za malaria, ukimwi, mafuriko etc hazinogi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Jan 27, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  Wasanii wetu wakiimba nyimbo zao kwa ajili ya biashara zinakuwa tamu sana kuzisikiliza.
  Haohao wakiimba nyimbo za maafa au magonjwa hutopata hamu hata kidogo ya kuurudia wimbo huo.
  Midundo mibaya, mirindimo mibaya ya sauti, yaani kero tu.
  Sijui tatizo haswa ni nini?
   
 2. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #2
  Jan 27, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Sio kweli...ule wimbo unaotangaza dawa mseto ya Malaria ni mtamu...unanoga.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mbona wimbo wa "We are the world mzuri sana

  am kidding Bujibuji
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ferouz na ule wa ukimwi mbona wimbo bomba sana?
   
Loading...