Eti Tinted Kwenye Magari ni Umalaya?

Katikomile

JF-Expert Member
Jul 12, 2007
471
74
Wakulu, heshima mbele!

Hivi kuna ukweli wowote kwamba wanaopenda kuweka tinted kwenye magari ni wazee wa ku-Do? Mara nyingi utakuta watu wanaweka tinted kwenye vioo ya vyuma kwa ajili ya kuficha kimeo make ukikiweka mbele kitaonekana ama wife naye anaweza kukubamba kwenye foleni. Lakini kama una tinted mnaweza mkapishana na wife kwenye foleni naye akiwa kwenye gari yake na wala asijue kinacho-endelea, kumbe nyuma ya gari kuna "mzigo"!
 
Hahaha!
Ila nisiweke kwanini?
Unataka kuangalia nini ndani ya gari langu?
Si umalaya bana, ni privacy.
 
Asikuambie mtu ku-DO kwenye gari kuna raha yake... sasa kama haina tinted utamuinuaje mtu miguu juu ya dari?
 
Swadakta kwa nn uweke tinted kwenye gari? Unamwogopa nani kama gari lako umepata kihalali na unamiliki kihalali unamwogopa nani? Si unaona gari zote za serikali hazina tinted.
Kweli tinted iwa zinaficha maovu tena mno utaona gari limepaki linatikisika utafikiri labda linataka kuondoka au kurudi nyuma kumbe lipo tu kimyaa ila linatikisika kama Idd Amin Dada style duh mtaconnect dot....hapo na ndo njia nzuri kubebea wake za watu.
 
Ni privacy bana....kwani unataka kuangalia nini kwenye gari langu? Inasaidia hata kibaka kwenye foleni anajishtukia, ukiwa na tinted hata laptop zetu hawazioni bana
 
Wakulu, heshima mbele!

Hivi kuna ukweli wowote kwamba wanaopenda kuweka tinted kwenye magari ni wazee wa ku-Do? Mara nyingi utakuta watu wanaweka tinted kwenye vioo ya vyuma kwa ajili ya kuficha kimeo make ukikiweka mbele kitaonekana ama wife naye anaweza kukubamba kwenye foleni. Lakini kama una tinted mnaweza mkapishana na wife kwenye foleni naye akiwa kwenye gari yake na wala asijue kinacho-endelea, kumbe nyuma ya gari kuna "mzigo"!

Kuna dalili za ukweli.

Hata kama sio mambo ya mademu, lakini kitendo cha kuweka tinted ni dalili ya kuwa na biashara ambayo haitakiwi kuonekana machoni pa wengine.

Kwa ujumla, gari yenye tinted ni lazima izue suspicion at any point 'p' of time 't'
 
Swadakta kwa nn uweke tinted kwenye gari? Unamwogopa nani kama gari lako umepata kihalali na unamiliki kihalali unamwogopa nani? Si unaona gari zote za serikali hazina tinted.
Kweli tinted iwa zinaficha maovu tena mno utaona gari limepaki linatikisika utafikiri labda linataka kuondoka au kurudi nyuma kumbe lipo tu kimyaa ila linatikisika kama Idd Amin Dada style duh mtaconnect dot....hapo na ndo njia nzuri kubebea wake za watu.

Na wewe unataka kuangalia nini kwenye gari langu?
Au nikuulize, kwa nini unaweka mapazia sebuleni?
Unafanya umalaya sebuleni wewe?
 
Zaidi ya hapo tinted kwa gari yako ni hatari kiusalama pia, kumbuka kwamba polisi wakifanya kosa kidogo tu la kukushtukia, umeumia..!acheni tinted jamani sio nzuri!
 
Kama unaweza mkuu, muulize marehemu imran kombe!

Kama una rekodi nzuri yule hakupigwa risasi ndani ya gari. Alishuka akanyoosha mikono juu kusalimu amri. Wale jamaa walimmiminia risasi wakiwa wanamwona live....

Yale yalikuwa mauaji ya kupangwa.
STUKA!
 
Ni privacy bana....kwani unataka kuangalia nini kwenye gari langu? Inasaidia hata kibaka kwenye foleni anajishtukia, ukiwa na tinted hata laptop zetu hawazioni bana

Hili nalo ni muhimu make siku hizi umezuka mtindo wa vibaka kuchomoa sight mirrors kama wanaona uko pekle yako kwenye gari na huwezi kumkimbiza, ila kama kuna tinted inawawia vigumu kujua kuna wangapi kwenye gari?
 
Tunaibiwa mabibi zetu kwenye magari yenye tinted

Wa kumegwa atamegwa tu.
Atapakiwa kwenye tukutuku na atamegwa.
Atapakiwa kwenye baiskeli na atamegwa,
Atatembea kwa miguu na atamegwa
Atapanda daladala na atamegwa!

Mi kwangu tinted ni privacy!
TINTED is there to STAY!
 
Back
Top Bottom