JF National Science Website for Students and Teachers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF National Science Website for Students and Teachers

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amanikwenu, Jan 26, 2010.

 1. A

  Amanikwenu Senior Member

  #1
  Jan 26, 2010
  Joined: Dec 1, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wana JF na Wapenda Maendeleo,

  Napendekeza wataalam wa kutengeneza tovuti wajitokeze ili JF tutengeneze tovuti ya kitaifa ya Sayansi kwa ajili ya wanafunzi na walimu wao. Tunaweza kushirikiana kwa karibu na Chama cha Walimu Tanzania (cwt)
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  count me in,toa more info please
   
 3. A

  Amanikwenu Senior Member

  #3
  Jan 27, 2010
  Joined: Dec 1, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Many thanks NewMzalendo.

  Suala hili liko katika ngazi ya wazo. Pendekezo kuu hapa ni kwa JF tujitolee kama mchango wetu kwa taifa hili katika kuitengeneza hiyo tovuti kwa ajili ya wanafunzi wetu, walimu wao na wazazi pia.

  Tovuti hiyo kimsingi inatakiwa iwe na uwezo wa kuwapatia walengwa elimu katika masomo ya sayansi na hisabati katika ngazi ya msingi na sekondari.

  Kwa upande mwingine itatubidi tuangalie namna gani tunaweza kuwatengenezea mfumo wa barua pepe kupitia hiyo tovuti.

  Binafsi si mtaalam wa kutengeneza tovuti bali nafahamu kwa undani tovuti nzuri na yenye kutimiza matarajio ya walengwa inapaswa kuwaje.

  Naamini kama tukifanikiwa kulitekeleza wazo hili tutakuwa tumefanya jambo jema sana na JF itazidi kufahamika zaidi.

  Newmzalendo, kama utakuwa tayari naomba nikuombe uongoze timu itakayojitokeza.
   
Loading...