Tra,kampuni ya kukamata magari arusha "rushwa tupu" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tra,kampuni ya kukamata magari arusha "rushwa tupu"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 27, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,740
  Trophy Points: 280
  NAOMBA NIANZE NA HAWA TRA
  HAWA JAMAA HAPA ARUSHA SIDHANI KAMA WANAITAJI MSHAHARA MWISHO WA MWEZI SERIKLI IMEWAPA ONETEN LANDROVER YAANI WANAVYOKUWA N A NJAA JAMANI NI AIBU,,KILA SEHEMU WANAINGIA WANAKAMATA TAX WASIVYO NA AIBU WAKIFIKA KWENYE TAX WANAINGIA MOJA WKA MOJA WANAOMBA VIEELELEZO WAKIWA NDANI;HII IMEANZA LINI JAMANI
  MARA WANASHUKA;UKIONA ANASHUKA ANALALAMA UJUE AMESHINDWA KUELEWANA KUPEANA "DOMBWE" WALE WA DAR MNAWEZA JUA MAANA YA DOMBWE ZAIDI
  NAOMBA SERIKALI MSIIJIABISHE WAELEZENI HAWA WATU KAMA NJAA WASIZIONYESHE LIVE NI AIBU HATA TRAFFIC WENGINE WANACHUKUAIKIWA KWENYE KARATASI HAWA LIVE WANACHUKUA PESA KAMA WALIWEKEZA
  OOOHHHH NO
  KAMISHNA WA TRA ARUSHA NAOMBA TUSAIDIANE HILI

  WENGINE NI KAMPUNI YA KUKUSANYA MAGARI YALIYO KWENYE WRONG PARKING a.k.a "KINGUNGE" STYLE
  HAWA ARUSHA WAMEKUWA KERO JAMANI NASEMA KERO NIKIMAANISHA
  WANA NJA KUPITA KIASI UTASEMA AWAJALA MAKWAO AAMA WAMEAMBIWA MCHANA WAWE WAMESHALETA MBOGA,...WANAKUJA KWENYE HIAC E PARKING MARA WAAANZA KUWAOMBA MADEREVA HUKU WAKITISHIA TUKIKUKAMATA NEXTYM UTALI,HUU NI UPUZI KABISA,WAKATI MWINGINE WANAKUJA KWENYE GARI IKO PARKED SAWA KABISA WANAANZA KUWATISHIA WAMILIKI THEN WANAANZA USIWE NA WASI WASI TUNAWEZA KUMALIZANA
  HIVI KILA OFISI TUKIENDA KWA KUMALIZAANA BILA KULIPA HALALI SI TUNAA HIZI OFISI ;

  WAHUSIKA NAOMBA MJIREKEBISHE KABLA ATUJAMKATIA TKT YA ATC JERRY MURO KUJA ARUSHA TAFADHALI
   
Loading...