Mayfair plaza kuna short time kumbe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mayfair plaza kuna short time kumbe?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by RealTz77, Jan 28, 2010.

 1. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Katika ile hali ya kutapatapa kwa Wahindi wa jengo la Myfair Plaza pale Mikocheni hali sasa yaelekea kuwa tete au mbaya. Kwa wale wanapafahamu wanajua ya kuwa wapangaji/tenants wengi wakubwa wamehama na wataendelea kupakimbia, hawa ni shoprite, Norwegian People Aid, Tigo, Furniture...., now zain, etc. But kutokana na heading above nimeshangaa kidogo kuwa pale pamekuwa mahali pa kwenda na demu/dume wako na kulipia short time au kulala (u choose) kwa bei tofauti sawa tu na zile guest zetu za uswazi. so utakuta mlango huu office mlango unaofuata watu wanapigana miti fasta na kutoka, sasa bongo pamekuwa tambarare,bado PPF tower nao wataanza,ujue price za kurent are too high in Dar, acha landlords wapate msukosuko watashusha tu bei, wapo very high unecessarly!
   
 2. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Hata mimi naliona hilo,kuna jamaa nyuma ya MAYFAIR anaporomosha appartments zaidi ya 100 na zinazokaliwa mpaka sasa ni hazizidi 20... yetu macho...
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,417
  Likes Received: 22,325
  Trophy Points: 280
  wacha watujengeee, wenyewe wataanza kutubembeleza tukapange kwa bei ya uswazi.
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,808
  Trophy Points: 280
  Real Estate business ilichangia sana kwenye mdororo wa uchumi. Makampuni yalichukua mikopo na mengi yalisindwa kurejesha kwasababu zinazofanana na hizo za myfair plaza..
  Hii ni industry ambayo inataka investors wawe makini kidogo. Naona kama wahindi wengi wanalazimisha walipwe fedha nyingi wakati ukweli ni kwamba hali halisi ya maisha hailingani na kodi wanazotoza kwenye apartment na office blocks.
   
Loading...