Muswaada wa sheria ya Wauguzi na wakunga

Muswaada wa sheria ya Wauguzi na wakunga

Mgoyangi

Senior Member
Joined
Feb 6, 2008
Posts
184
Reaction score
9
Jamani mwenye uelewe ama muswaada wenyewe kuhusu Wauguzi na Wakunga kama ulivyojadiliwa leo Bungeni naomba atumwagie japo kwa muhtasari. Hasa implications zake katika suala zima la huduma za afya kwa jamii.
 
Back
Top Bottom