Traffick wa tengeru rushwa nje nje"jerry muro style"

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Wakati kipindi kilipoonyeshwa kuhusu rushwa za matraaffic kule
iringa nilijua ndugu zetu watakuwa na uwoga kidogo la hasha
leo hii nikiwa ktk basi kutoka usa kwenda kimandolu mkoa wa
arusha tumefika tengeru tukasiamamishwa na traffic mmoja dk 30 zilizopita
mweume mrefu gafla dereva akashauriiana na jamaa mpelekee 2000
konda akasema tumpe 3000 jana tumemkopa;mmmh sikuamini jamaa na mwenake na mwanamke mmoja wamesimmama katikati ya bara bara konda akaenda alivyo mjinga anamwambbia yule mama achungulie pembeni kama noma yule mama akaanza kuangalia huku na kule akuw a na karatasi ati aifishe alifika akampa pesa kama anapeleka NBC
Huu uchafu wa rushwa utaisha linijamani nimeamua kuandika namba za gari at least hawa nao wafwatiliwe wanwweza kuwa chanzo cha rushwa barabarani,ni hiace T558 AWU
YULE ASKARI AKUWA NA ZILE NAMBA ZAO
MWEMA KAZI UNAYO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom