Thea: sakata la matiti na utumiaji wa dawa za kichina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thea: sakata la matiti na utumiaji wa dawa za kichina

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pape, Jan 25, 2010.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0

  [​IMG]

   
 2. B

  Bull JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ndio maana napenda Islam kwa sababu mafunzo yake yako wazi hasa kwenye mavazi, upende usipende hiyo ndio sheria ya islam

  Hata ukristo pia una dress code kama uislam, lakini kutokana na udhaifu wa wachungaji kanisani na uchu wao wakibinadamu wanashindwa kukemea, as result makanisa sasa hayana tafauti na Night clubs.

  Wachungaji wanaogopa kuhubiri ukweli kwa sababu watawagusa wafuasi wao na watkapo kasirika wataamia kanisa jingine kwahiyo kumfanya mchungaji wakanisa la msimamo kukosa fungu la kumi.


  Mtakapo fuata mafundisho ya Bible bila kujali kuwaridhisha wafuasi, mambo machafu kama haya hayatatokea na litlifanya kanisa kuwa na heshima zaid.
   
 3. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kWANI MTU AKIOKOKA HAFAI KUNYONYESHA?NA ANAPONYONYESHA MATITI ANAKUWA KAYAFUNIKA?TATIZO HAPO NI KWENDA KANISANI AKIWA UCHI(KWA WALE WENZETU WANAOSALI MARA TANO KWA SIKU WANASEMA UCHI WA MWANAMKE NI ENEO LOTE LA MWILI KASORO VIGANJA VYA MIKONO NA VITANGA VYA MIGUU)HIVYO MWANAMKE YEYOTE ANATAKIWA AFUNIKE MWILI WAKE WOTE ANAPOKUWA KARIBU NA MABABA KWANI HAO MABABA WANAWEZA KUTAMANIKA KUTOKANA NA SEHEMU YA MATITI YAKE INAYOONEKANA NA KUFIKIA KUTENDA DHAMBI KWANI MT.PAUL KASEMA MWANAMUME AKIMWANGALIA MWANAMKE KWA JICHO LA TAMAA BASI HUYO TAYARI AMEZINI,HALELUYA.
   
 4. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sijapata message kwenye hii post yako mkuu, waweza fanya nyongeza kidogo?
   
 5. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ujumbe upo sehemu mbili.
  Kwanza kuzungumza eti thea ameokoka lakini matiti yake yanaonekana.(hapa ni kusema mwanamke yoyote anaweza kuonekana matiti yake hasa pale anapokuwa ananyonyesha mtoto hilo halina ubishi ususani kwa sisi waafrika haswa watanzania hata katika daladala wakina mama wananyonyesha watoto).
  Pili katika mada yenyewe ni kweli ametenda kosa kama amekwenda katika ibada akiwa ameacha sehemu ya matiti yake yakiwa wazi kwani kwa kufanya hivyo kunaweza kusababisha matamanio kwa wanaume marijali.
  Ndio maana nikasema wale wenzetu wanaosali mara tano kwa siku(waislam) wao mwanamke anatakiwa ajisitiri mwili wake wote na sehemu inayowachwa wazi ni viganja vya mikono na vitanga vya mikono.
   
 6. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  yaani huu ni ukweli mtupu...
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,276
  Likes Received: 19,423
  Trophy Points: 280
  Mavazi hayana tatizo. dini tumeletewa na wazungu na waarabu .sasa tatizo liko wapi..tuendelee kuwaenzi jamani.
   
 8. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hata wewe unasapoti hii hali?
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  jamani mungu aangali mavazi na wala mavazi hayakuingizi mbinguni ata ukivaa kininja kikubwa ni moyo wako na matendo yako
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,276
  Likes Received: 19,423
  Trophy Points: 280
  ndio. wewe unaenda kanisani kuangalia matiti au vimini? shame.
   
 11. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  sasa assume ungekuwa wewe ndio unamwangalia Thea humo kanisani halafu unaanza 'kwenda wima' na presha inakupanda...hapo teyari umeshafanya dhambi. je nani alaumiwe? wewe au Thea?
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Are you sure it is Paul?
   
 13. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  what a nonsense? the inner must affect the outer. PERIOD!!!!!

  Roho lazima iathiri mwili whether positively or negatively same as mwili huathiri roho.
   
 14. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  unamaanisha nini?
   
 15. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Huwezi kujifanya u-msafi kwa ndani ya moyo kwamba Mungu anaangalia moyoni wakati nje u mchafu. Matendo ya mtu yanaonekana ndani au nje? dhambi inatendwa na mwili au roho? Matendo ya mtu ndiyo hupimwa mbele za Mungu. na matendo hutendwa na mwili kutokana na msukumo wa moyo au akili.

  Ukiokoka hasa huwezi kuwa hivyo, maana badiliko litakuwa ni la kutoka ndani na litaathiri influence ya akili na decisions zako hivyo huwezi hata kuvaa hivyo, dhamiri yako itakataa.
  roho ikiwa chafu nawe utakuwa mchafu tu.
   
 16. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  haya...
   
 17. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  agreed?
   
 18. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  not really!
   
 19. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #19
  Jan 25, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Ila matiti yake yanamvuto.
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Bongo tambalale ukichafuka machoni mwa jamii unaibukia kanisani, ukiwa kanisani ndo unakuwa na nguvu sana kuliko mwanzo ndo mambo ya Bongo haya, huyu kaingia ulokole kwa gia ya kuacha maembe kibada wazi.
   
Loading...