Hivi dini zimeleta amani au faraka duniani?

Hivi dini zimeleta amani au faraka duniani?

drphone

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Posts
3,542
Reaction score
295
kuna hii mada ipo inajadiliwa wapo redio na watu wanachangia nimeona na mm tuijadili hapa jf kwa great thinkers.

karibuni tujadili mimi naanza kwa kuchangia kwamba dini kama dini zimeleta amani kwao wanaoziamini mfarakano nipale wa imani a anapokwenda kuingilia imani ya b lakini tukieshimu kila mtu na dini yake bila kuingiliana mfarakano autakuwepo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom