Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jihadhari Jihadhari Jihadhari Jihadhari Jihadhari na watu hawa wa Naijeria....... wamebuni MBINU mpya ya kitapeli, na hakyanan, unaingia mtegoni kirahisi sana usipoangalia Eti...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mhe Rais, Najua pressure ambayo unayo toka kwa GB na Brown hasa kuhusu suala la Zimbabwe. Wanatarajia support ya Tanzania likitolewa Azimio la Umoja wa Mataifa la kulaani Zimbabwe na matukio...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Angalia Mambo Ya Mazingira Katika Migodi Yetu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau Kama Kuna Mtu Anazo Data Atupe Ila Huu Ndio Ukweli Wa Mambo Mpaka Naingia Mtambo Sasa Hivi Yaani. Hawa Jamaa Wamegoma Wote Kabisa. Ila Sijapata Full Sababu Za Kuwasababisha Wagome...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna sababu ya kuwashirikisha wapinzani katika jumuia ya Nchi za Afrika AU ,kama vile katika mashirikisho ya Ulaya ambapo vyama wapinzani hupata nafasi ya kuweka wajumbe . Kwa ufupi vyama vyote...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wana JF wenzangu, Kama kuna kitu ambacho nimechoka kukisikia katika maskio yangu ni “UFISADI!”. Kwa kipindi kirefu sana tumekuwa tukishuhudia mambo mengi yakiibuka juu ya mikataba mibovu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nilisoma maoni ya wana jf walioweza kupata nafasi ya kuandika kuhusu jk kuwa ndiye aliyetatua mgogoro wa uchaguzi wa Kenya, sikuweza kusema lolote kwa wakati huo, japo nimechelewa naomba kutoa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi kuna nchi duniani yenye sikukuu nyingi kama Tanzania?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mchana mwema jamani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Meet New People, share pictures as well as chat and post on your friends wall. We bring you irafiki.com (N.B: Looking for people to translate the site to swahili)
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani ughaibuni kuna mambo.Hawa wakenya washamba kinoma aisee.Hebu tizama kisha unambie kama hutomfuata mwanao kumrudihsa Afrika!!!....ishhhh!!!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hawa jamaa kama kweli wana imani, ... ya Mungu wamwachie Mungu na ya Kaisari wampe Kaisari Waliodai Yesu anakuja wafungwa miaka minne :: Waliwatorosha watoto wa shule wakampokee Bwana na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwaka jana, katika kikao chake cha bajeti, Serikali ilitangaza kuondolewa kwa kodi zote kwenye chanzo cha nishati kijulikanacho kwa jina, Liquid Petroleum Gas (LPG). Nishati hii, kabla ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Surprise discovery off coast of Brazil may confound the oil and gas doom-mongers· Claims that offshore field is world's third biggest · Shares in partner BG close up 5% despite doubts Terry...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sakata la Richmond na mtikisiko wake bado havijaisha Bungeni. Kuna kila dalili kuwa yaliyotokea Bungeni mwezi wa pili na kusababisha kujiuzulu kwa Waziri Mkuu na kuvunjika kwa baraza la Mawaziri...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mabadiliko ya nchi yetu yatapatikana siku vyombo vya habari vitakapoacha tabia zao za unafiki katika uhandishi na kufanya kazi yao kama inavyopaswa kuwa. Mwandishi wa habari anatakiwa awe ni mtu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Why first-born children are brighter than their siblings Last updated at 01:06am on 14th April 2008 The first-born is likely to be the smartest, according to research First-born children are...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wandugu, Ni muda mrefu tangu kupata updates ya nini kinaendelea kuhusu Balali. Hakuna anaejua kuhusu afya yake????? Je, Ni lini serikali ya Tanzania itamrudisha nchi kuja kutoa maelezo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
This is a backgrounder of the struggle in Tibet and how the US has been building up Dalai Lama to pursue their ideological struggle. In the US many uninformed people had been awed by his...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
  • Closed
Kuna uhusiano gani kati ya jf na bluevoda? Mbona page zake zafanana? Hebu ingia hapa ufananishe...http://www.vodahost.com/vodatalk/?s
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…