Bowbow
JF-Expert Member
- Oct 20, 2007
- 541
- 32
Wandugu,
Ni muda mrefu tangu kupata updates ya nini kinaendelea kuhusu Balali.
Hakuna anaejua kuhusu afya yake?????
Je, Ni lini serikali ya Tanzania itamrudisha nchi kuja kutoa maelezo yake????
Je uchunguzi unaofanywa na kamati ya EPA, mbona haujamhoji mhusika mkuu?
Kamati ya EPA Wanapata wapi taarifa nyeti bila backup ya Balali???
My take:
Tunahitaji kuweka presha zaidi kutaka Balali arudishwe. Ninatoa wito kwa wabunge wetu kuihoji serikali iweke hadharani kwamba ni lini huyu bwana atarudishwa nchini kujibu tuhuma zinazomkabili.
Zitto na Dr. Slaa mbona mmekuwa kimya kwa hili suala bungeni??
Kwa nini msiwakilishe hoja ingine bungeni????