Jihadhari na Matapeli

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,098
Jihadhari Jihadhari Jihadhari Jihadhari

Jihadhari na watu hawa wa Naijeria....... wamebuni MBINU mpya ya kitapeli, na hakyanan, unaingia mtegoni kirahisi sana usipoangalia

Eti wanakutumia email wakidai wao ni watu wa kampuni/network wanaotoa huduma ya email yako, mfano 'YAHOO.COM AU HOTMAIL.COM AU GMAIL.COM Then wanakwambia kuna mambo wanataka kurekebisha kwa email yako, hivyo uwape email address na u-confirm password kwa email.


THUBUTUUU... USITOE MAANA WATAKACHOFANYA NI KUKUBLOCK WEWE KWA KUBADILISHA PASSWORD YA EMAIL YAKO, THEN MBAYA ZAIDI WATAWATUMIA BARUA PEPE WATU WOTE WALIOKO KWENYE ADDRESS BOOK YAKO WAKISINGIZIA CHOCHOTE CHA KUKUTOA HELA. WANAWEZA HATA KUKUTUKANIA MZAZI, BOSS AU MKWE WAKO WAKIONA HUTOI KITU. SI WANA ACCESS!?

MTU MMOJA NIMEFANYA NAE KAZI, AMEOMBWA PASSWORD, ALIPOTOA, WAKAIBADILISHA, WAKAANZA KUTUMIA WATU WALIOKO KWENYE ADDRESS BOOK YAKE YOTE EMAIL. MIMI NIMEPOKEA EMAIL YAKE AKINIOMBA NIMTUMIE HELA. ATI YUKO NAIJERIA, AMEIBIWA FEDHA NA HANA MAWASILIANO MENGINE ZAIDI YA EMAIL. NA AMEKWAMA HIVO NIMSAIDIE KUMTUMIA HELA ($ 1'700) ARUDI NYUMBANI.

NISINGEKUA NIMEONGEA NAE ASUBUHI HII, AU NISINGEJUA JINSI ANAVYOANDIKA MESEJI ZAKE ZA EMAIL.... ALLHAH NINGEWEZA TOA!

CHUKUA TAHADHARI, NA MTAARIFU NA NDUGU, JAMAA NA RAFIKI YAKO!

 
Bubu Unavyoandika Vitu Vya Kitaalamu Kama Hivi Unatakiwa Uwe Na Uhakika Navyo Kama Hivi Sasa Ungetupa Mfano Wa Email Au Evidence Yoyote Ile Kuonyesha Ukweli Wako .

Ukweli Ni Kwamba Aina Hiyo Ya Wizi Imeanza Miezi 6 Iliyopita Na Sasa Hivi Imeshitukiwa Sana Na Watu So Wamepunguza

Usiku Mwema
 
Back
Top Bottom