Wadau Kama Kuna Mtu Anazo Data Atupe Ila Huu Ndio Ukweli Wa Mambo Mpaka Naingia Mtambo Sasa Hivi Yaani.
Hawa Jamaa Wamegoma Wote Kabisa.
Ila Sijapata Full Sababu Za Kuwasababisha Wagome.
Wadau Kama Kuna Mtu Mwenye Data Atupe Uwanja Huu Hapa.
Hapo pananifanya niitamani sera ya haki za binadamu ya China,Ukigoma tunakuletea Karandinga,wanafunzi wao kama watoto vle heshima kwenda nyuma...Hawa jamaa hawaishi kugoma..Kipindi nasoma Mzumbe nilisikia maramoja tu jamaa wa MU wakigoma tena ilikuwa kwa masaa lakini hawa wa UD kila siku kama Chai...lol
nimeongea na jamaa mmoja alioko huko tanzania, kuwa vipi chuoni? akaniambia ni watu tu sasa wameona deal kuwa wanaweza kutafuta majina kwamba waliwahi kuongoza migomo hata kama hakuna sababu. mfano hili la sasa hivi ni propaganda tu za watu wachache wanataka kujenga future esteem, si uajua wakisikia Sitta aliwahi ongoza mgomo basi na wao wanataka kuwa vile.
hapana waheshimiwa wanagomea kulilia haki zao.....kama wao ndio wanapiga kura iweje serikali ,,chama ,,management ya chuo iwachaagulie viongozi..kuna umuhimu gani wa kutumia hela za uchaguzi kama raisi mnae tayari....bi up COET...na for info wale ndio wanaume wakigoma hata kule juu mangwini wanafyata..na hakuna mgomo walionzisha mangwini mpaka COET waanze.....,,,wanacholilia ni wenzao kurudi waliofukuzwa baada ya kuona paluapalua isiyo na adabu...nahisi sasa MKANDALA ATAAMKA NA SUBIRI KAMA HAWAJAFUNGA CHUO NA KISHA KUWARUDISHA WOTE HIVYO KUTOA USHINDI WA JUMLA......
BIG UP ENGINEERS!!!!!!!!!!!HAKUNA KULALA HUYU TAKATAKA MKANADALA NI NGWINI MWENYE AKILI LAKINI ANATKA KUWAPELEKA WANACHUO KISISASA....MSIKUBALI KUPELEKWA KI CCM......
=TUKO NYUMA YENU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.