Tamko kwa Jakaya Kikwete

Maneno haya angesema mzee mwana KJJ kwa sababu muda wote yeye yupo huko kjjn ndio angesema hajui kwa nini TZ ni masikini.Kauli hiyo kutolewa na JK ni kututukana sisi watz.Jk amekua serikali kwa muda mrefu sana,naamini kwamba ni mambo mengi sana anayajua.Kama kweli mtu umekomaa kifikra huwezi sema hujui kwa nini TZ ni masikini.

Mtu mwingine ambae anaweza sema hajui kwa nini TZ ni masikini ni yule ambae hakufika hata darasa la nne la shule ya msingi.Jamani How Europe Underdeveloped Africa JK hajakisoma kitabu hiki?Kama sio kuleta mzaha.Hatuna committed leaders what do you expect,kama sio umasikini.

JK knows each and every thing why Tz is poor.Asitujalibu.
 
Back
Top Bottom