Wazazi Angalieni Watoto Wenu Ulaya!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,214
Jamani ughaibuni kuna mambo.Hawa wakenya washamba kinoma aisee.Hebu tizama kisha unambie kama hutomfuata mwanao kumrudihsa Afrika!!!....ishhhh!!!

[media]http://uk.youtube.com/watch?v=L_rRZkK_bSA[/media]
 
Ndio maisha mkuu,kuna kila maamuzi so wapo free ili mradi tu hawajaiba cha mutu
 
Hivi ni kweli watoto wa Kikenya wamezibuka flani zaidi ya dada zetu?
 
Ha ha, Ebwana kweli Full kujiachia. Waache wabembee tuuu Mkuu ili mradi sio Watanzania.
 
Hii ndivyo ilivyo, watoto wote ama wawe wamehamia Ulaya au Marekani au wamezaliwa huko.

Mara waingiapo katika mfumo hasa Uingereza basi wao hujua kila kitu kuhusu uhuru na haki zao na hukua nazo.

Hawa waacheni tu ndio hali halisi hio ya Ughaibuni, lakini inategemea na mzazi unafuatiliaje hali hii.

Wenzetu wahindi mbona wanaweza kuwalea watoto wao kimaadili na leo watoto wao wengi ni madaktari, wanasheria wafanza biashara, wahasibu na fani mbalimbali je vipi watoto wetu waafrika?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom