GreatConqueror
Member
- Mar 27, 2009
- 75
- 5
Ni mwaka sasa nimejaribu kuingia website ya mwanahalisi lakini inaonekana haijawa updated almost mwaka sasa kwani habari iliyopo pale ni ile ya May 21 2008 (Dr. Slaa: Nimeshinda Mafisadi). Vipi wahusika hajaliona tatizo hilo? Au mafisadi walishai-hack? Wajumbe naomba mwongozo!
Nawasilisha
Nawasilisha