Ajali za Kimaro na Mwakyembe zilipangwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali za Kimaro na Mwakyembe zilipangwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmaroroi, Jun 1, 2009.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hivi hizi ajali za kupanga zitaisha lini au wanaopanga ajali hizi kwa mashujaa wetu wa kupinga ufisadi tuwatafute ili wasiendelee na hujuma zao.Wana JF wapanga ajali wanajulikana kuanzia ya Salome Mbatia,Mwakyembe na Kimaro.Wafuatao hawakosi kwenye mipango hii ya uuwaji RA,EL,HC,LM na wafuasi wao.Kumbuka walichofanya kwa Balali,Kubenea na walichopanga kumfanyia R.Mengi.Wana JF tuwashauri Watanzania cha kufanya juu ya mauaji haya ya Kijasusi.
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Utata mtupuu kwa kweli ingawa hao wa Kimaro wanaweza kusema ni vibaka tu walitaka lile C class yake .......ila kwa Mwakyembe duuu "ramli tupu toka mtabiri sheikh Kombe"
   
 3. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sasa tushauriane nini cha kufanya kama Serikali haichukui hatua.
   
 4. Offish

  Offish Senior Member

  #4
  Jun 1, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wazo la Mwanakijiji la kususia kampuni yao ya simu ndiyo hatua ya kuanza nayo kwani uchunguzi unaonyesha kuwa matandao huo ndio silaha yao kubwa wanayotumia kupanga ajali hizo
   
 5. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Moderator huyu alieanzisha topic hajafungiwa tu mpaka sasa hvi.tukimwambia alete ushahidi wa hao aliowataja ataweza
   
 6. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hiyo sawa,sasa kwa nini nao tusiwatengenezee ajali kama tunavyo wafanya vibaka,Watanzania tuwahimize juu ya hili.Unajua hata kwa Mauaji ya Albino itatolewa haja kuwa ili kuyakomesha Waganga waseme wanahitaji viungo vya miili ya Viongozi.Sasa kwanini tusiwatafute mafisadi kwa upanga kama wanavyofanya kwa mashujaa wetu wa kupigania haki za masikini.
   
 7. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #7
  Jun 1, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  enhee hujui watanzania tulivyo sasa hivi? we subiri mvua inyeshe yakitokea mafuriko tu utaambiwa ni RA, EL......
   
 8. TreasureFred

  TreasureFred Member

  #8
  Jun 1, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaazi kweli kweli,niliposoma thread nikaju unataka kuuliza,yaani ni swali,kumbe umeisha chunguza,shitaki,na kuhukumu,haya ni mawazo ya watu wanao tafuta majibu rahisi katika mambo magumu,why usijiulize,may b wanampango wa kujiua?au wanamadeni benki wanampango wa kujimaliza kama rais wa korea,or madereva wao wazembe,or wamechanganyikiwa na msongo wa mawazo,tujiulize maswali tusipende hoja rahisi na majibu rahisi,kubenea nilshasema hapa kuwa why tusijiulize may b amechukua mke wa mtu?

  Ni hatari tukianza kuwa na majibu rahisi ktk mambo sirious,je ajali zote nchi hii wanahusika hao unaowataja?
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,690
  Likes Received: 82,553
  Trophy Points: 280
  Finn's Facts:Are anti-graft lawmakers being targeted?

  FINNIGAN WA SIMBEYE
  DAR ES SALAAM

  IN 1984 when former Prime Minister and the late anti-corruption crusader, Edward Moringe Sokoine, died in that mysterious road accident in Morogoro, some highly corrupt elements in government might have heaved a sigh of relief.

  The late Moringe Sokoine's crusade against graft has yet to meet its rival. This is because during his time rich people and people of affluence were forced to abandon bundles of cash, luxury items such as television sets, music systems and everything at rubbish pits and ocean beaches for fear of being arrested.

  Sokoine who the official accident report said died in a normal traffic accident, is still widely regarded by Tanzanians as a man who was committed to fight graft to the extent of risking his life.

  After the late Sokoine's death which remains a mystery to most of us, public officials who have made a fortune through engaging in dubious deals to the disadvantage of the public thought it was over, if at all allegations that they had a hand in his death are considered valid.


  Then came former Home Affairs Minister, Augustine Lyatonga Mrema, over a decade later in 1995 when he broke ranks with his cabinet peers and spilled the beans about VG Chavda's thieving activities at Bank of Tanzania and how his friends in government were protecting him.

  Mr Mrema had his fair share of the spoils after losing his job and then decamped to the opposition during the 1995 general elections. For several years, Tanzanians recognised Mrema's anti-graft fighting spirit and rallied their support behind him while standing as an opposition candidate in presidential and legislative elections.

  Today the war against high level graft has recruited several faithfuls among members of parliament, businessmen, journalists, activists and many more. It's no longer a single man's show thanks to the government of Jakaya Mrisho Kikwete for championing the cause.

  But as the war against graft gets uglier prior to next year's general elections, news is filtering out that some crooked public officials and businessmen who made a fortune out of graft, have raised 2bn/- to dislodge some outspoken MPs including Kyela legislator Dr Harrison Mwakyembe, Vunjo MP Aloyce Kimaro, Same East MP Anne Kilango Malecela, Simanjiro legislator Christopher Ole Sendeka, Nzega lawmaker Lucas Selelii, House Speaker Samuel Sitta and many others who they see as a danger to their desired thieving ways.


  Equally worrying are two recent accidents involving Mwakyembe and Kimaro which increasingly appear like organised fatalities with the police giving the usual cheap and easy statements that indicate the accidents are 'normal'.

  The war against high level graft is increasingly getting personal and ugly and targeting people who have stood their ground to defend interests of the majority Tanzanians whose only crime was to vote into public office politicians with questionable character.

  To be sure that Tanzania wins this war, these side shows should not distract our attention from the big picture, which is that of ensuring all corrupt elements are uprooted from the legislature and executive, to a larger extent, after next year's general elections.

  Road accidents will be manufactured, targeted assassinations may also get in the way as we head towards 2010, because a clique of thieving public officials won't accept to lose their piece of cake without putting up a fight.

  It's going to be tough, but those committed to the cause must stay the course and rescue this country from the pangs of a local mafia cartel running a bigger parallel economy to the official economy. One thing is for sure, killing the Sokoine, Mrema, Mwakyembe, Kimaro, Selelii, Malecela and others won't put an end to this war, it's only going to fan its flames for a much more fierce fire.
   
 10. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2009
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mambo kama haya huwezi uka conclude, kwani wengi wanakisia ajali kupangwa lakini pia inawezekana kwa upande wa pili ajali zikawa za bila kupangwa..swala ni ushahidi...
   
 11. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuache kuwa na fikra finyu kiasi hiki. hakuna mwnadamu ambaye yuko excluded kwenye vitu ambavyo hutokea everyday and randomly without discrimmination. hivi ajari ambazo zinatokea kwa siku hapa tanzania ni ngapi. au hao wanakumbwa nazo si bora mbele xza Mungu. zikiwapata hao watu maarufu, zimekuwa za kupanga. hivi mtabadilika lini. no human being is a master of his destiney, what can happen to a poor will be able to happen to a rich, to famous the same to marginal. all people are equal before God and can face the same quencequence of power of nature. all human being are immortal not devine, .......wailing, groaning, cries,mourning for subject. By Yeremia the prophet
   
 12. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  .....
  MASHUJAA GANI? Hao ni jumla ya MAFISADI TU! acheni kuwadekeza kama ni mashujaa kweli na watetezi wa wananchi kwanini hawakumuunga mkono DK SLAA kuhusu malipo makubwa wanayo jiengezea kila siku bila kujali uchumi wa nchi, pamoja na viwango vya watumishi wengine?
  shujaa katika vita ya ufisadi ni DK SLAA peke yake hao ulio wataja ni wanafiki tu!
   
 13. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Watanzania kwa kupenda ushaidi...mbona E&Y wamekupa EPA ushaidi wote..nini kimetokea? Kagoda ndo nani? washtakiwa wote nje..nakadhalika..
  Sometimes jus put two together and u shall get ur answers...
   
 14. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tena mmenikumbusha wazee. hivi tangu haya mambo ya epa sijui downs mara sijui kiwira, majina kama maranda maranda, mara prof mahalu kulipuka- wangapi wameshakuwa convicted
   
 15. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  zile ni ajali za kawaida

  ajli ya kupangwa huwa haitokei ki vile; huwezi kukosa target kama umedhamilia

  ni ya kawaida tu.
   
 16. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Wao ni kina nani wasipate Ajali..?

  Kila jambo ni mipango ya Mungu na tabia ya kusingizia mambo bila kuwa na ushahidi ni Dhambi kubwa na ukosefu wa imani kwa watu walio na Heshima hata kama wanahusika na Ufisadi,ila kuchochoea chuki ni jambo la hatari sana..
   
 17. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2009
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  HC ndo nani? au tupe title yake?
   
 18. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kama ni mnufaika wa mafisadi hao endelea lakini mwisho unawadia,eleza Balali alitokomezwa na nani,haya wahusika mbona hawajaichukulia hatua Kagoda hadi leo,mafisadi papa wameshitakiwa?shame on you mfaidi ya mafisadi au fisadi mwenyewe.
   
 19. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hendry Chenge(HC)
   
 20. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa maana yako hata EPA,Richmond/Dowans,Kagoda na Kiwira ni mipango ya Mungu.Hata Wachungaji na Maaskofu kuacha injili na kuingia kwenye siasa ni mipango ya Mungu.MUNGU INUSURU TANZANIA.
   
Loading...