Kufukuzwa kwa Makamba Waathirika waomba Uwamuzi wa kesi zao UBATILISHWE!!

mlokole

Member
Dec 8, 2006
14
3
Wana ukumbi twambieni nyie mlooko karibu huko na sakata hili la kufukuzwa kwa aliyekuwa Jaji "Makamba" (Bin Manyuzi wa Bin Ununu wa Bin Utembo) eti wale wote walioamuliwa kesi zao na Jaji huyo wameanza kufuatilia ili mahakama ibatilishe uwamuzi wa kesi hizo kwa kuwa huwenda Jaji huyo alikuwa ameshauchapa huo ulevi wakati alipokuwa akihukumu kesi yeyote katika hizo kama shutuma zinavyomkabili. Wana ukumbi tuambieni kama mmesikia kitu chochote juu ya hili.
 
Si rahisi kuamua kesi kilevi kwani kuna sheria zinazoelekeza maamuzi katika kesi mbalimbali,labda kwa kuchelewesha kesi sawa.
 
Back
Top Bottom