Tatizo ninini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo ninini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng'wanza Madaso, Jun 1, 2009.

 1. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Jamani naomba kueleweshwa hili Kwanini nchi kama Ethiopia ina shirika la ndege(Ethiopia airline) ambalo linatesa sambamba na mashirika makubwa ya ndege na wakati nchi kama hiyo haina any source of income zaidi ya vita. Lakini hilo shirika bado halijadorora mpaka sasa je sisi tulio na amani na utajiri wote huu tunashinda na nchi kama Ethiopia.Je tatizo ni nini?.
   
 2. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Tatizop ni ubwege na kubweteka amani zenu. watanzania ni wavivu sana hatujishughulishi eti.
   
Loading...