Effects of being an Arsenal fan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Effects of being an Arsenal fan

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kitatange, May 29, 2009.

 1. k

  kitatange Member

  #1
  May 29, 2009
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yafuatayo yamesikika kuhusu washabiki wa Arsenal.
  1. Of late wamekuwa na msongo wa mawazo ( Stress) kutokana mfululizo wa matukio during the year.
  2. Ile khali ya kuishia kushangilia kwao na aghhhhh! imesababisha stress hii kutokana na kuwa ili affect na nyanja nyingine za maisha yao kuwa za dizaini hiyo ya "aaagggh!" Kwa mfano

  a. Mapenzi - Performance yao katika kutafuta magoli imekuwa ya style hiyohiyo

  b. Day to day activities - Shughuli zao mbalimbali za kimaendeleo na kimasomo zimekuwa za design hiyohiyo, kuwa never finished zinabakia kuwa Work in progress for a while!

  3. There is a possibility that arsenal fans wana character zinazofanana or any other team fans for that matter.

  SWALI: Hivi ni kweli haya, is there any scientific explanation with or against this?
   
 2. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Kaka, kuna ukumbi wa Michezo/ sports hapa JF...
   
 3. k

  kitatange Member

  #3
  May 29, 2009
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I thought of it but then nikafikiria kuwa hii ni zaidi hoja mchanganyiko kuliko habari ya michezo
   
 4. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wewe mbona umesahau yule rafiki yenu....aliye wa ''butcher'' jamaa kule Nigeria?
   
 5. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,281
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Mkubwa kuna watu wana machungu na hiyo timu ngoja wajitokeze
   
 6. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  And the WUM of the year award goes to..............kitatange
   
 7. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Admin hebu ifute hii
   
Loading...