Nimeona tangazo, la NBC, lakini mwanzo wake wanasema "Benki inayokuwezesha kufanya biashashara zako kwa mujibu wa dini yako".
Mimi nimeshindwa kupata muunganiko wa maneno hayo na pia picha...
Ninavyofahamu teknolojia inaboreshwa ili kurahisisha, kufanisisha na kuharakisha mawasiliano kwa namna 1 au zaidi. Na ni hulka ya mwanadamu kupenda kitu kipya hususan pale anapoona kitamletea tiaj...
(CNN) - A 5-year-old girl in Georgia is being asked a series of questions in her school library. The girl, who is white, is looking at pictures of five cartoons of girls, all identical except...
IMEDAIWA kuwa wanawake wengi wanaofanya biashara ya kuuza miili yao katika maeneo ya Manzese jijini Dar es Salaam ni wake za watu na imegundulika kuwa wanaagizwa na waume zao wakafanye biashara...
Wana JFs kuna jambo ambalo mi ninaliona ni janga la kitaifa japo halitiliwi mkazo wa kutosha, kwa waliopitia vyuo mbalimbali hasa vyuo vikuu tatizo hili ni kubwa sana.
Mfumo wa ajira Tanzania...
Nimefuatilia maswali ambayo yanaulizwa na ITV kwa kile kinachoitwa "Kipima Joto". Maswali haya ambayo yana lengo la kupoll kujua watu wana misimamo gani juu ya masuala mbalimbali ya kisiasa na...
Wana JF
Najiuliza sana sipati majibu hivi ni uchumi unakuwa au unadorolaa??
Leo USD ni 1480 as exchange rate, na utakuta kila bidhaaa ununuapo hata kama wao waliinunua three month ago ambako...
MKUU WA JESHI la Polisi nchini, Saidi Mwema, ameunda tume maalum kwa ajili ya kuchunguza mauaji ya raia mmoja kilichotokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika tukio ambalo lilidaiwa kuwa ni...
Tafadhari wekeni AVATAR zinazoendana na sura na shepu zenu. Ili hata kama mtu anakutana na wewe asishtuke, iri picha arioijenga kichwani ziendana na muonekano wako wa nje. :confused2:
Nawapenda...
UBALOZI wa Marekani Dar es Salaam umenusurika kulipuliwa.
Mwanafunzi wa shule ya msingi anayedaiwa kuhamasishwa na mafunzo aliyopewa na mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda amekiri kutaka kuulipua...
Ubalozi Wa Marekani DSM Chupuchupu
Ubalozo wa Marekani nchini umenusurika kulipuliwa na mwanafunzi wa shule ya msingi anayedaiwa kuhamasishwa na mafunzo aliyopewa na mtandao wa kigaidi wa Al...
MSICHANA wa miaka 17 ambaye anadaiwa kumuibia baba yake mzazi Sh15 milioni, jana alifikishwa mahakamani kujibu shtaka hilo lakini muda mfupi baada ya kusomewa mashtaka, kesi yake ikafutwa...
Naomba tujadili kidogo pengine na kutoa ushauri kuhusiana na ukorofi wa madereva wa magari ya serikali barabarani. Utakuta dereva anakimbiza sana huku kawasha taa zote na hata wakati mwingine...
Wale wanaoogopa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, moja ya hofu yao kuu ni kuporwa kwa ardhi yetu! Watanzania hawa ukiwasikiliza kuhusu Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, wengi wanatahadhalisha kwamba...
Nashindwa kuelewa nchi inaelekea wapi, jana tbc1 waliwaonyesha wanavyuo wakiwa bodi ya mikopo wakifuatilia hela za ada,matumizi na za field.hivi mpaka wanavyuo waende bodi wenyewe au mawasiliano...
KUNA kisa cha bwana aliyemwomba sana Mungu amsaidie. Siku moja akaambiwa; sala zako zimeshasikilizwa, isipokuwa, Mungu atakusaidia kwa sharti moja; Kwamba kile atakachokupa wewe, basi, jirani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.