Kampuni zetu tanzania na teknolojia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni zetu tanzania na teknolojia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tanga kwetu, May 18, 2010.

 1. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  Ninavyofahamu teknolojia inaboreshwa ili kurahisisha, kufanisisha na kuharakisha mawasiliano kwa namna 1 au zaidi. Na ni hulka ya mwanadamu kupenda kitu kipya hususan pale anapoona kitamletea tiaj tija kwa namna 1 au zaidi. Tunashuhudia makampuni mengi hapa Tanzania hususan ya huduma za kipesa (mf. mabenki, TANESCO, DAWASCO n.k.) yaki-adopt teknolojia ya mawasiliano mathalan internet au kuuza huduma zake(transactions) kupitia internet na simu za viganjani kama vile M-Pesa, ATMs na NMB Mobile.
  Lakini inapotokea speed ya ku-adopt hizi teknolojia haiendi sambamba na technical-know-how na technical-know-who (skilled personnel) inaleta walakini juu ya dhima nzima ya hiyo teknolojia.
  Mimi binafsi ni muathirika sana wa hii kadhia katika kiwango cha juu kabisa. Nita-sight mifani michache ya dhahama niliyokumbana nayo so far
  NMB Mobile:
  Hii huduma imelenga kurahisisha huduma za kibenki kupitia mobile phone. Mimi ni Voda Com subscriber. Nimekuwa nikiifurahis sana. Ila imeshatokea mara kadhaa kutokea kwa zaidi ya masaa 48 kutopatikana kwa huduma hii kwa kile kinachoitwa 'network default'. Kwa mfano nipo Morogoro, tangu saa 10 jioni ya tarehe 15 June hadi naandika hii post saa 9 na nusu alasiri ya tarehe 18 bado NMB Mobile haifanyi kazi. Mbaya zaidi, wanatoa namba ui-contact (15566) kwa maelezo zaidi. I thought kwamba kwa vile ni huduma kwa wateja basi ni free of charge-I was quite wrong!!!! Tena wana-charge hata kabla simu haijaunganishwa na customer care personnel!!!
  LUKU-TANESCO!
  kuanzia jumatano hadi jumamosi hakukuwa na 'network' kwa ajili ya kununulia umeme wa LUKU kwa mkoa wa Tanga. Ilituletea adha isiyo na kifani. Mafundi ilibidi watoke Dar!!! Wateja wapya ambao tulikuwa bado hatujingizwa kwenye 'system' ilibidi tukae gizani kwa muda wote huo na vitu vingi vilivyohitaji refrigeration viliharibika.
  ATM:
  Ni jambo la kawaida kukuta ATM za benki fulani kwa wakati fulani kutofanya kazi kwa hata zaidi ya masaa 24. Hii inaweza kuwa ATM machines za locality fulani fulani mathalani mjini pote. Kisa...'network'

  Naomba wahusika wa hizi taasisi wawe serious na hii technical default. wawe na sufficient and competent technical personnel na hata infrastructure ya nizo 'network zao'

  Wakuu,nawasilisha!
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  bongolanda is where systems dont work,sitarajii na usitarije systems za bongo zifanye kazi,na hii inaanzia juu kabisa kwa mwenye Kaya mpaka kwa House Gelo wako hapo home,wote saanaaa tupu.
  ili systems zifanye kazi inabidi sote tuwe tunajali na kuheshimu muda,systems be it manual or automated the fundamental key is TIME.
  angalia what time unafika kazini,na unatoka saa ngapi,unaheshimu muda unaofanya kazi ulioajiriwa or kujiajiri,unaheshimu muda wa kufika ktk ahadi,vikao,kanisani etc,
  until then sahau habari ya systems kufanya kazi,
  ukiisha ulaya after 6months tu ,mwenyewe unabadilika kwani watu wanaheshimu muda,na kuuzingatia ndio maana systems zinafanya kazi,
  NETWORK za LUKU,NMB zote hazitafanya kazi,
  NETWORK za VODA,ZAIN ,TIGO hazitafail na haziwezi kuwa off,kwani kampuni zote zinatumia TIME as Air Time kama mtaji na Product hivyo wanaheshimu sana muda ndo maana zinafanya kazi.
  may JK aje na TIME KWANZA ,ili nchi izingatie muda then kila kitu kitakuwa saafi.in the mean time,vumilia kaka hii ndio bongo yetu tukufu
   
Loading...