Ilumine
Senior Member
- Dec 27, 2008
- 196
- 4
Nimeona tangazo, la NBC, lakini mwanzo wake wanasema "Benki inayokuwezesha kufanya biashashara zako kwa mujibu wa dini yako".
Mimi nimeshindwa kupata muunganiko wa maneno hayo na pia picha zinazoonekana hapo. Walioliona tangazo hilo (TBC1 ktk taarifa ya Habari ya saa 2 uck) wanieleweshe.