Hili pia ni janga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili pia ni janga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tete'a'tete, May 19, 2010.

 1. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JFs kuna jambo ambalo mi ninaliona ni janga la kitaifa japo halitiliwi mkazo wa kutosha, kwa waliopitia vyuo mbalimbali hasa vyuo vikuu tatizo hili ni kubwa sana.

  Mfumo wa ajira Tanzania mara nyingi unaangalia vyeti vya watu hapo ndo napotaka kuelezea pointi yangu.Wasichana wengi wanapata vyeti vizuri kwa kujidhalilisha kwa wahadhiri na si kwa uwezo wao, sasa ajira inapotolewa kwa kuangalia na nchi yetu kwa sasa inaongonzwa na kauli mbiu ya haki sawa kwa nyanja zote ikiwemo ajira. Hivi mambo yanapokwenda vibaya katika maeneo mbalimbali ya kazi huku ufanisi ukiwa duni,tunafanya nini kupata wanawake bora wa kutuongoza waliotumia ubongo wao na si miili yao?

  Kwangu hili ni janga la kitaifa japo unafiki umetutawala kuuficha ukweli huu, naomba mawazo yenu kwa tatizo hili.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sio wasichana tu hata wavulana.:frown:
  Mi nashauri kuwe na muda wa majaribio :A S clock:(kwa makubaliano kabisa...kama hamna mfumo huo sasa hivi) miezi 3 hivi au hata 6, ndani ya muda huo usipofanya kazi yako kwa ufanisi unaondolewa kazini.Kwa style hio hata juhudi zitaongezeka kwasababu hamna anaetaka kufukuzwa kazi!
   
Loading...