Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kuna habari zisizo rasmi ambazo zinadai kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta chama cha mabsi kina mpango wa kuongeza nauli kwa rout fupi kuwa sh 500 kuanzia ijumaa ijayo. Habari hii nimeiskia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF ningependa kujua lengo la TBC1 na LAPF katika shindano la ndoto ambalo linaendeshwa na mama TERRY.Nia ya kipindi sijailewa vizuri kwani imekuwa ni kuonyesha umaskini tulionao watanzania au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hakika kama umepita sinza hutosita kuungana nami kwamba sasa sinza inaitaji kuitwa jiji la sinza nimepita kila sehemu imekidhi kila haja ya mtanzania kwa kila maitaji ya mtanzania....kwa wale...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari watu wa JF? Natanguliza samahani kuwa kichwa kilipashwa kusomeka Star Times Decoder Kwa watumiaji wa Decoder za Star Times, naomba nisikie maoni yenu juu mambo haya: 1) Stations...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Jamani ugali iwe wa mahindi au wowote mwengine ni mtamu,lakini kwa kweli ugali wa mahindi ambao wengine huuita sembe au sima ni vyema kujizoesha kuwachana nao.Kabla kusikia hoja zangu nyinyi...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Watanzania wenzangu nimekuwa nikitafakari sana jinsi Muungano wetu usivyo na USAWA kati ya washiriki wawili wa Muungano huu. Kuna mambo mengi yasioleta usawa katika Muungano huu na mojawapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanafunzi sita, mwalimu wanaswa kughushi vyeti Send to a friend Sunday, 16 May 2010 21:20 0 diggs digg Mkinga Mkinga WATAHINIWA sita wa mtihani wa ualimu Daraja A, wamekamatwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba waliokuwa wanafuatilia discussions hii kule kwenye utani na udaku basi waje hapa tuzungumze mambo serious.... tuendelee tukianzia na Katabazi Originally Posted by WomanOfSubstance @...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesikia summary ya mageziti kisa kimoja kinachofanya nijiulize umakini,uharaka, uwajibikaji wa utendaji wa polisi na watu wanaotakiwa kulinda usalama wa raia In sumary ya kisa ni hivi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kabla ya kutoa hiyo Khutba juu ya ufalme,Yesu alisoma maneno haya katika Maandiko, ''Mtakuwa kwangu falme ya mapadri,watu watakatifu. Yahweh ni mwamuzi wetu,Yahweh ndiye anayetupa sheria. Yahweh...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi, Kimwili, Kiakili, Kihisia na Kiroho!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa wateja wanaotumia king'amuzi toka starmedia inakuwa kero kwani picha zinakwamakwama sana kiasi cha kuchosha na kufikiria kutolipia tena. Kama mnatusikia fanyieni kazi hili suala kwani wateja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ziko wapi nyimbo za injili!??? jamani nimezimiss.... Au ni mimi peke yangu wadau...!??
0 Reactions
0 Replies
2K Views
--ALALAMA UCHUMI UNAPOROMOKA --WATANZANIA WASIO NA SIFA KUKAMATA OFISI KUBWA NA KUACHA WENYE SIFA ---SERIKALI LAZIMA IWE MAKINI NA HILI ..VINGINEVYO TUTAJAZA MAPOPOMPO MAOFISINI Aliekuwa rais wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Ismail Jussa Ladhu (CUF) Wabunge na viongozi wa vyama vya siasa, wamesema uamuzi wa wahisani kupunguza mchango wao kwenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Monica Petro SHIRIKA la umeme Tanzania (Tanesco) limetangaza kuwepo kwa mgao wa umeme siku 23 katika mikoa sita ya Kanda ya Ziwa na baadhi ya mikoa kutokana na mitambo ya umeme mkoani Singida...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanajeshi wa JWTZ amefanya mauwaji ya kutisha kwa kumchinja mkewe kikatili na kumuuwa mtoto wa kaka yake kwa kumpiga risasi.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hii ni tahadhari kwa msiokuwa na antivirus imara, mkiitembelea tovuti hiyo mtaishia kuzipeleka pc zenu garage. Jihadhari, tovuti ina virus; mwenye kuwa na mawasiliano na owners awafahamishe...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
:mad2:Lesbian couple 'forced out of church for holding hands in the pews' Last updated at 4:11 PM on 14th May 2010 A lesbian couple claim they were forced out of their church after...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom