Exchange rate still going higher

Exchange rate still going higher

Jethro

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
2,219
Reaction score
371
Wana JF

Najiuliza sana sipati majibu hivi ni uchumi unakuwa au unadorolaa??

Leo USD ni 1480 as exchange rate, na utakuta kila bidhaaa ununuapo hata kama wao waliinunua three month ago ambako exchange rate ilikuwa USD 1300 au USD 1315. na ukienda leo watakupiga kwa bei iliyopo ya USD1480.

Jamani Serikali yatupereka wapi? maisha haya wananchi mtaweza kweli? na ndio maaana wakuta nchi zingine ukipandisha bei ya mkate tu wanaandamana nchi nzima hapa TZ twaburuzwa kweeeliii.

Mfano mzuri tu Hapo Kenya sasa hivi Umeme ni bei rahisi kweli huwezi amini na sijui wamewezaje nadhani ni mikakati mizuri sana ya shirika la umeme kenya hapa kwetu sijui.
 
we acha tu
hii ndo tanzania yetu
hakuna walichofanya hawa wakuu yaani ni pumba tupu

katika hili la kukuza uchumi
 
Back
Top Bottom