Najaribu kuwaza; Hivi hii dawa ya ukimwi ikija kuwa confirmed kwamba iko effective kwa asilimia 100%, tutakuja kuwabana namna gani watoto wetu kuhusu kujiepusha na ngono?! Wote tunajua maadili...
Mkuu wa mkoa huyo aliona vipi kama ngeruhusu gari liende hata kullala nje ya kituo cha police kama alikuwa anataka kulikamata gari.waliopata mateso si kampuni ya zuberi ila wa watanzania hasa...
Na Maggid Mjengwa,
WAHENGA walinena; Unayemnyima kisu, mpe banzi!. Hizi ni kauli
zinazotutaka tufikiri kwa bidii. Kisu kilichotengenezwa kwa banzi ni mfano
wa kisu, si kisu. Wakati...
Yawezekana ni mmoja wa waathirika wa fani hii, napenda leo kukwambia ndugu kama una cpa yako na bado unaendekeza wizi kwenye kazi zako utaendelea kutokua na maana milele.
Nasema hili nikiimanisha...
yale yaleeee!
-----
VijanaFM Blog
Im always excited to come back home, Tanzania. And this time around, I was especially excited because I was moving back home. After eight years of living...
Tukio lilitokea siku ya Jumapili tarehe 11 mwezi Julai, 2010 katika kituo cha mafuta cha Oil link Afrika Sana Mwenge, bado linaniachia maswali mengi. Swali kubwa ni kuwa: EWURA inamlinda vema...
Ilikuwa jana usiku katika taarifa ya habari nilipo shuhudia watu wakishangilia kukubaliwa na kupitishwa kwa sheria ya kuruhusu ndoa ya jinsia moja huko Argentina.Nilishangaa nilipo sikia kuwa si...
Lula wa Ndali Mwananzela - Raia Mwema (Jumatano Julai 14, 2010)
KUNA wakati mwingine ni lazima tuuite ukweli kwa jina lake. Kama mtu hataki kuamka wakati unamwambia nyumba inawaka moto utafanya...
MWENYEKITI wa Kijiji cha Kemakorere, Zephania Chacha anadaiwa kumshambulia kwa viboko mkuu msaidizi wa Shule ya Sekondari Kemakorere, Juma Selemani Hango akimtuhumu kukata miti miwili ya shule...
Kwa kitendo kinachofanywa na tigo siku hii ya leo mi naona ni kubakwa hadharani,najua kuwa tigo ni kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi inayotumiwa na watanzania wengi mno,sasa mchana huu...
Jamani wote tulishuhudia shindano la Serebuka katika TBC1. Watanzania tulipiga kura zetu lakini mpaka leo haijajulikana ni nani aliibuka mshindi wa mashindano yale. Siku ya mwisho walimaliza...
Nimekuwa nikipigwa butwaa kuona nyaraka zenye mambo binafsi ya waajiriwa katika maofisi mbalimbali zikitumika kufungia maandazi au kutengenezea bahasha za kubebea bidhaa mbalimbali. Katika tukio...
Nipo natazama kipindi cha Zamadamu, kinachorushwa na TBC1 wametembelea makumbusho mjini Arusha, kilichonishangaza ni huyu muhusika wa makumbusho anavyotoa maelezo ya uongo, kuna huyu mnyama...
WADAU niko katikati ya nchi najaribu kufuatilia mjadala wa watunga sheria katika mjengo wao.
Wote mashuhuda namna juzi walivyomshikisha adabu Dk. Magufuli ambaye anatamba kuwa ni mtoto wa...
Mwili wa Mtanzania Caroline Tom Mmari ambaye aliripotiwa kupotea May 20.2010,na kupatikana akiwa amekufa huku mwili wake ukiwa umefichwa/zikwa nyuma ya nyumba aliyokuwa akiishi Jijini Los...
Kwa mara nyingine tena, kile kinachoelezwa kama 'wananchi wenye hasira, kimefanya kazi yake tena baada ya kumchoma moto wa tairi kijana aliyedhaniwa kuwa kibaka. Jamaa anaonekana kijana mmoja...
Jana nimesoma makala ya Lula wa Ndali-Mwananzela kwenye gazeti la Rai Mwema kwa masikitiko makubwa. Fedha zinazotajwa kuwa zimetumika kulipa faini kwa uvunjifu wa mikataba usiokuwa makini ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.