Haijalishi una CPA ngapi kama mwizi huna maana milele

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Yawezekana ni mmoja wa waathirika wa fani hii, napenda leo kukwambia ndugu kama una cpa yako na bado unaendekeza wizi kwenye kazi zako utaendelea kutokua na maana milele.

Nasema hili nikiimanisha huku wengi wakiendelea kubambwa nisingependa wewe uwe mmja wapo...kila la kheri
 
watu huwa mnafanana jamani....kumbe hata kutoa thread unaweza kufanana na mtu mwingine....duh!!
 
watu huwa mnafanana jamani....kumbe hata kutoa thread unaweza kufanana na mtu mwingine....duh!!

Hivi Minister of Finance 2000 - 2006 si ndiyo aliwahi kuishambulia taaluma ya uhasibu kuwa ni wezi. Preta did you mean that?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom