Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 307
Jana nimesoma makala ya Lula wa Ndali-Mwananzela kwenye gazeti la Rai Mwema kwa masikitiko makubwa. Fedha zinazotajwa kuwa zimetumika kulipa faini kwa uvunjifu wa mikataba usiokuwa makini ni sababu tosha ya kumweka mtu rumande, achilia mbali kumfukuza kazi lakini mpaka leo, miaka mitatu baadaye hakuna hata dalili za mkurugenzi kuondoka licha ya mkataba wake kumalizika.
Je kuna nini hapa? Au ndiyo yale yale ya Home Shopping Centre na ushuru wa Forodha?
Je kuna nini hapa? Au ndiyo yale yale ya Home Shopping Centre na ushuru wa Forodha?