si wote tunafatilia vishindano vya kijinga kila kukicha, mara magari ya zain, mara Miss Tandika, mara bongo star, mara vibahati nasibu vya visoda kama bado tuko darasa la III, to hell with that horsecrap, u follow itJamani wote tulishuhudia shindano la Serebuka
Ulitaka wakuambie kosti usepe??...Ni wepesi sana kutangaza zawadi za mashindano na bahati nasibu zao lakini hawakuambii meseji unayotumaitakukosti shilingi ngapi! Wizi Mtupu.
Imekula kwao hiyo wabongo wameshashtukia hii habari ya short codes.Ni watanzania wachache kwa sasa wanaopiga kura kwa kutuma message,hivyo waliona ni biashara isiyo na faida, walitangaza mshindi wa kwanza atapata sh. mil 20 ambazo walitegemea zitokane na matangazo ya biashara na kura za watazamaji , all that turned to be negative. kwa sasa TBC imekaa ki biashara zaidi.