Nyie Tigo acheni kutubaka hadharani bwanaaaa!!

Nyie Tigo acheni kutubaka hadharani bwanaaaa!!

mchajikobe

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
2,678
Reaction score
1,279
Kwa kitendo kinachofanywa na tigo siku hii ya leo mi naona ni kubakwa hadharani,najua kuwa tigo ni kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi inayotumiwa na watanzania wengi mno,sasa mchana huu naona wameamua kutubaka chini ya jua ng'aavu bila kujali umuhimu wetu,yaani kitendo cha kukatiza mawasiliano,bila kutoa taarifa kwa wateja wao ni sawa na kutubaka,naomba kama habari hizi zitafika mahala husika zifanyiwe kazi haraka iwezekanavyo,msitubake kimtindo huu jamani!!!!
 
Back
Top Bottom