Itakuwaje.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Itakuwaje..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kanyafu Nkanwa, Jul 18, 2010.

 1. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Najaribu kuwaza; Hivi hii dawa ya ukimwi ikija kuwa confirmed kwamba iko effective kwa asilimia 100%, tutakuja kuwabana namna gani watoto wetu kuhusu kujiepusha na ngono?! Wote tunajua maadili yote, ya kijamii na kidini yalishakwama; angalau kwa kasi fulani mkwara wa kifo cha ngoma ulikuwa unaweka mambo sawa japo kiubishi ubishi.
   
 2. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Ikiwa Neno la Mungu halikuweza kuwa effective kwao, hakuna kingine kinachoweza kuwasaidia.
   
Loading...