Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu naomba mwenye wasifu na picha ya mkuu wa wilaya ya kilosa naomba aniwekee hapa au ani PM kunahoja nataka kuitoa.
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Jamani Juma Nkamia yupo wapi?Simuoni TBC sikuhizi.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mtoto huyo ambae yupo nchini India, Twinkle Dwivedi, mwenye umri wa miaka 14,hutoka damu hiyo kwenye ngozi bila hata kukatwa.Mtoto huyu anatoa damu machoni,puani,shingoni,na kwenye ngozi amewaacha...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nakumbuka sana enzi za Headmaster Banyenza ambaye yupo Ihungo kwa sasa, ilikuwa ni Speak english kila kona. Ilikuwa ni balaa ukiongea Kiswahili ukaangukia mikononi mwa Mwl. Ngeni ama mulokozi
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Teenager stabbed to death over 'petty' Facebook jibe Kiran Randhawa|Justin Davenport 21.12.09 A teenager was stabbed to death after a “petty” row triggered on Facebook, it was claimed today...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Angalia hii video utapata jibu nice video!! http://www.google.com/url?q=http://www.youtube.com/watch%3Fv%3DX-RlZOJ4d14&source=video&vgc=rss&usg=AFQjCNEanx4xpxFVSzSzim61qrg0-OpI3A
0 Reactions
1 Replies
1K Views
leo asubuhi nilikuwa naangalia habari ya channel10 kuhusu kusakwa kwa matapeli watatu wa viwanja, kamanda Kova alisema kwamba hawa jamaa wanauwezo wa kutengeneza hati bandia ambayo ina taarifa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WENGI walimwona ni tumaini lililorejea. Tukaanza kuona nuru ikimulika gizani. Matumaini yaliyofifia yakafufuka. Kumtazama tu ikawa kama ni tiba. Wengine wakatuambia huyu ni chaguo la Mungu. Wengi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MegaPyne
By Faustine Baraza Tanzania and drug barons I recall the issue of drug barons in Tanzania was covered extensively in the media in 2005. President Jakaya Kikwete who was coming into power...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
According to Steve Harvey, a man in love will ALWAYS profess it! Some more than others, I guess.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wahadhiri 4 waliofukuzwa chuo cha out nawea kusema wamekufa kishujaa;hili ni kutokana na mambomengi yafanyikayo vyuoni kutokuwa hadharani;ila hili na kutokana na maswala binafsi ya mbwete akuna...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wassalaaam alheikum wale wakristo bwana asifiwe wale wakina kimbonde habarini za saiz ;wanandugu kuna mdau kantumia barua ya malalamiko nikaona ni vyema sie kama wadau wanusa ufisadi tuangalie...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Am tired of CNN and BBC and the rest.... enough of the graphic pictures of the Haitian disaster...can they focus on the relief efforts?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
“In certain extreme situations, the law is inadequate. In order to shame its inadequacy it is necessary to act outside the law to pursue natural justice.”
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cabby drives hours to return lost 10G He went the extra mile.A broke but honest cabby spent his Christmas Eve driving back and forth to Long Island to find the...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
  • Closed
Nimelazimika kujiuliza swali hili kwamba vyombo vya habari vya Mengi ni fimbo inayotumika kuwachapa watanzania? Leo Itv ilikuwa na kipindi kilichorushwa kujadili mustakabali wa taifa na kilikuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Dah Huyu 'dokta' inasemekana amekuwa akitibu wagonjwa pale Muhimbili bila kuwa na ajira wala kufahamiKa na mtu yeyote kwa kipindi kidogo...Wafanyakazi na wagonjwa wamekuwa wakimlalamikia kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi jamani kila siku magazeti yanatangaza kuhusu hawa watu matapeli ambao wanatumia ujanja wa kuwalaghai watu kwamba wanafanya biashara! Hawa matapeli huja na 'gia' kwamba uwape pesa fulani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salaam Wana JF, Hivi Mawaziri wetu sio Watumishi wa Umma? Na kama sio Watumishi wa Umma, kwanini wanalipwa mishahara yao na Serikali kuu? Na kama ni ndiyo, kwanini wanaruhusiwa kujihusisha na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
matokeo ya kidato cha pili 2009 yametoka ambapo 35% ya watahiniwa wote wamefeli, Nini maoni yako. Soma Pia: Matokeo ya Kidato cha pili-2011 Matokeo kidato cha pili hatimae yatolewa, mkoa wa...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Back
Top Bottom