Facebook | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Facebook

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiranja Mkuu, Jul 14, 2010.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Je ni faida gani umepata tangu ulipoanza kutumia facebook?
   
 2. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sijaanza
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Naona wanaopata faida na hii kitu ni wanaume.
  Kwa watoto wa kike naona disadvantages ni nyingi kuliko faida.

  Personaly, sijawahi kujiunga na hii kitu ila nawaona vijana wanavyo'complicate mambo na hiyo facebook.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jul 14, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Faida niliyopata ni kuwa na mawasiliano na jamaa niliopotezana nao tangu nimalize primary school!
   
 5. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Binafsi nina miaka mitatu kwenye facebuk lakini sijapata faida yoyote mpaka dakika hii!!
   
 6. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Duh!!!
   
 7. bht

  bht JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  nilikuwa nikipata habari za watu tulopotezana kitambo, like where they are now wat they do n stuff lakini siku hizi situmii tena n frankly speaking I dont miss a thing!! thanks to my machine it stopped opening my FB pg!!
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kwanza hiyo FB ina umbeya sana....nimeogopa hata kumuad Mr...waungwana hawakawii kutoboa boti...ki ufupi haina faida yoyote
   
 9. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Faida ni kama tu unaowatafuta wameregister FB na unaweza wasiliana nao kirahisi, vinginevyo FB inachochea mahusiano yasiyo rasmi
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nadhani kuna aina au kundi la ya watu FB inaweza kuwa na faida sana kuliko kundi lingine. Mfano teenager, celebrities, kundi hili nadhani fb ina faida .Generraly faida ni kuwa connected and be informed. Tatizo no sia wote watakuwa connected ni watu wazuri au.......

  Kundi lingine ni watu wenye umri fulani wa utu uzima, watu wanaopenda ku keep low profile,etc. Kundi kama hili FB ni hasara zaidi.

  Nadhani kwa Taasisi za kipelezi kama CIA sabau inakuwa rahisi zaidi kupata initial info za mtu fulani rafiki zake ndugu zake, views zake, matatizo yake . nk. Pia FB inaweza kumsaidia mtu binafsi kupata personal na na private life experince ya mtu fulani. Hii inaweza kuwa ni faida na hasara inateggema unatazama vipi.
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Social networking..
   
 12. m

  matejoo Member

  #12
  Jul 15, 2010
  Joined: Apr 19, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Faida ni nyingi sana kuliko hasara. Nikizieleza sintamaliza. Kwa kifupi kila tekinolojia ina hasara zake na faida zake ila mbaya zaidi ma Luddist/Luddites i.e wapinga maendeleo ni wengi sana katika tasnia ya ICT. Kama unacho value zaidi ni privacy, unaweza kuweka as little info as you want to na usiweke picha yako hata moja (ukatumia katuni etc). Kinyume chake ni kujijengea ukuta dhidi ya ulimwengu wa mawasiliano which characterizes our era. The bottomline is FCB is here to stay...it is a neccessary evil!!
   
 13. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2010
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna wengine nao wanajiuliza...hivi toka mlipojiunga Jamii Forums mmepata faida gani?Maana sehemu kubwa ya taarifa ambazo ziko hapa sources zake ni kwenye vyombo vya habari mbalimbali?Mtu yeyote anaweza kupata taarifa hizo hata bila kujiunga na Jamii Forums!

  Nia yangu ni kuonesha kuwa suala la kujiunga au kutumia teknolojia fulani ni suala la mtu binafsi.Mtazamo wa mtu mmoja kuhusu teknolojia husika haufanyi iwe mbaya au nzuri!It's all about choices we make kwenye maisha yetu!

  Wanaotumia Facebook watakuwa wanasababu zao,ambazo zinaweza kutokuwa na maana kwako ila ni za msingi sana kwao.Likewise watumia mtandao kama Jamii Forums pia wanasababu zao ambazo zina uzito kwa upande.
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  :A S tongue::pound::lie:
   
 15. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Nilipata taarifa ya nafasi ya kazi kupitia kwa jaamaa kwenye FB. Hii inafaida, ila inategemea wewe mwenyewe unaitumiaje?. Wewe mwenyewe unachagua iwe na faida au hasara , iwe kwa kujua au kwa kutojua!!! Thats all
   
 16. H

  HUBERT MLIGO Member

  #16
  Jul 15, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hakuna kitu kilicho na faida tu bila hasara au hasara tu bila faida. Mhusika wa kitu husika ndiye anayeamua kukitumia kifaa hicho kwa faida au kwa hasara. Hivyo hivyo kwa FB kama umeamua kutumika kwa tathnia hasi basi matokeo yake yatakuwa hasi na kama imeamua kutumia kwa tathnia chanya basi matokeo yake yatakuwa chanya.
   
 17. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Asante mpooro umetumia akili nyingi kumjibu huyu mtawala wawanafunzi aka Kiranja Mkuu maana nachokiona katika tasnia ya habari kwenye tovuti za suraktabu naona kwa hapa tanzania tunaitumia kwa aslimia ya nusu ya robo!!! Nisawa na mnavyotumia JF hakuna tofauti ni umbea na habari mchanganyiko na zaidi kwa Tz Facebook wanatumia mara nyingi wanafunzi fanya utafiti utaona ila kama tukiitumia vizuri kuna information nyingi za kujiendeleza usiitazame kwenye screen tu go deep!!:fish2:
   
 18. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Nakutana na waumini wangu wa zamani.... na pia napata wapya...lol
   
 19. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Aisee mimi ni mmoja wao pia ambaye nimepata faida ya kukutana na marafiki tulio soma nao shule ya msingi miaka 31 iliyopita, na kati yao ni mke wangu wa sasa ambaye tulipoteana miaka mingi sana na atmae FB imetukutanisha na sasa ni mume na mke.
   
 20. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  nimefaidika kukutana na marafiki zangu tuliopotezana tokea tuko primary.

  nimefaidika na kuendelea ku-keep in touch kwa urahisi na marafiki zangu wengine ambao sasa tunaishi nchi tofauti

  nimeifadika ku-keep in touch kwa karibu zaidi na jamaa zangu ambao tunakaa mbali

  nimeifaidika na 'umbea' wa hapa na pale hasa ule unaotokea Tz mimi nikiwa nje ya nchi ( it helped to kill time and not be akward in conversations pale unapokutana na wahusika...................mfano kumuuliza mtu bf wako fulani hajambo kumbe alishapigwa buti kitambo na watu wote wanajua ila wewe ulie nje ya nchi ...hehehe)
   
Loading...