Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kanisani kwa mama kuna maombi yanaendelea pale ya wiki nzima kuombea amani ya nchi. Hii ni kwa mujibu wa vyombo vya habari. Sina wasi wasi na maombi ila wasiwasi wangu unajitokeza pale...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wednesday, August 18, 2010, 3:20 AM U.S. Embassy Dar es Salaam, Tanzania Warden Message - Snatch and Grab Robberies August 17, 2010 This Warden Message is being issued as a reminder of the...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hi wananchi wenzangu,kipindi cha uchaguzi sio muda wa wanasiasa kupiga ngonjera zao tu bali na sisi waalikwa kuwapima wenzentu. Leo nilikuwa jangwani tangu saa nne asubuhi mpaka giza linaanza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Amiri wa Mji mmoja wa Saudi Arabia ambae ni wa ukoo wa kifalme (prince) amesema atawakatia maji na umeme wakuu wa mashirika hayo mawili ili waelewe adha wanazopata wananchi kwa kukatiwa umeme na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau lile wimbi la wagonjwa wa vifafa limezidi kuongezeka mara dufu baada ya aliyekuwa Boss wa Chadema ndugu Bob Makani kuanguka ghafla katika uzinduzi wa kampeni za chama hicho zilizofanyika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ujumbe unaosema wote 33 tuko salama Wachimba madini wa Chile wamenasa mita 700 chini ya ardhi baada ya mgodi wa dhahabu waliokuwemo kuporomoka, wote wako hai lakini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Inasemekana Dawa mseto ya Malaria ina sumu kali ambayo italeta madhara makubwa hapo baadae kwa watumiaji...Itapelekea watu kupooza! Jamani watanzania tunamalizwa kwa njia moja au nyingine,vizazi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mi napenda sana kuokoka katika makanisa ya siku hizi yani yakiroho lakini cjajuatmpaka leo niende kwa yupi naona kilammoja anafundisha mafundisho yaliyo nje ya mandiko ya biblia .naomba mniambiye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Most attractive feature in women revealed <H1>A woman's attractiveness now relates to the size of her waist compared with her hips, fresh scientific research...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mkono wa mtoto Clement unavyoonekana baada ya kuunguzwa na mama yake mzazi kwa kisa cha kuiba mkate. Kiukweli mi sina lakusema kuhusiana na hili, kwa maana mpaka sasa najiuliza inakuwaje mzazi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna taarifa nimezipata muda mfupi uliopita kwamba kuna kabila fulani wanagombania maiti pale Muhimbili kuhusu aidha azikwe hapa Dar au asafirishwe kwenda Mkoani. Kwa mujibu wa chanzo cha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
binafsi wa TZ wote hatuna haki hiyo kwani vyombo vya usalama vyote vipo kulinda masirahi ya viongozi mafisadi wa nchi hii wale wa CHUKUA CHAKO MAPEMA msishangae mi kusema hiki nitatafutwa ka mwizi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wewe ni Baba/Mama/Kaka/Dada au Mlezi, una mtoto/watoto/wadogo zako mdogo/wadogo labda wa kuanzia miaka 4 na kuendelea hadi ukubwani huko tuseme miaka labda 25 hivi au kuendelea. Sasa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa kesi ya bwana Muro imehairishwa tena. hivi hii kesi sio ya kutengeneza kweli?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
A pastor has angered Christians in South Africa by preaching a sermon entitled "Jesus was HIV-positive" in an attempt to break what he regards as a conspiracy of silence by the South African...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hi everyone. I am a proud customer of a US based webhosting company called Siteground, for two years now. For some time now, they have been giving out several offers that I can share with friends...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika pitapita yangu mtandaoni nimekutana na Blog ya Mr II sugu ambayo ni suguformbeya.blogspot.com
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakereketwa wenzangu vipi kuhusu lile swala la mfuko wa taifa wa bima ya afya? Huu ndio wakati muafaka wa kufichua uzembe , ulaji wa pesa za wafanyakazi wenye kipato kidogo na unyanyasaji...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hili jambo najua hakuna atakayebisha kuwa wa tz wengi wana tabia ya kubana pua, kuanzia wanasiasa. Waimbaji wa bongo flavour,Watangazaji wa maredioni (clouds....) sina haja ya kuwataja kwa...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
wakuu salaam! naomba kufahamishwa,mimi ninajua kuwa afya ya mgonjwa ni siri ya mgonjwa na Daktari wake!kama ndivyo,je na halali kwa watanzania kutaka kujua hali ya afya ya rais wao!au hiyo ni siri...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom