Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jana kwa wale wanaopenda kusikiliza kipindi cha PB cha Radio - Clouds FM, Gerald Hando alivyokuwa akiwahoji vijana wa CCM waliopita katika kura za maoni akiwemo January Makamba walivyokuwa wakitoa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii imetokea mchana wa leo. Jirani yangu ana mtoto wa miezi minne ambaye huachwa na yaya. Yaya ana tabia ya kumuacha mtoto na kwenda kurusha roho na mume wa jirani yetu, nyumba ya nne toka nyumba...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu mliopo Mbeya au Tukuyu,nimesearch mtandaoni na kuona baridi kali 4-8 Centigrade.Pale Uporoto si itakuwa 0 Centigrade? Hapa DSM tu hapalaliki, tupeni habari sehemu nyingine,Arusha,Lushoto,Iringa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika taarifa ya habari ya TBC1 jana jioni inasema maziwa ya kopo yanayotumiwa kuwapa watoto imegundulika kuwa inawafanya watoto kuanza kuota maziwa wakiwa wadogo sana kutukana na virutubisho...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Kwa wanachama wote na wasio wanachama wa JF kwa ujumla yaani wale ambao bado hawajajiunga ila wanasoma JF, nina ombi moja fupi sana kwa wote. Jumamosi hapa Warsaw, nitakuwa nina kipindi cha saa...
0 Reactions
8 Replies
11K Views
MUST READ!! For those of you who heard it, this is the article Dee Lee was reading this morning on a New York radio station. For those of you who didn't hear it, this is very deep. This is a...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MKAZI wa jijini Dar es Salaam anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 50, amelipa faini ya Sh30,000 baada ya kupatikana na hatia ya kutoa uume hadharani, kumlowesha kwa mbegu za kiume, abiria wa kike...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hodi Hodi wana JF nabisha mie, mwanikaribisha?
0 Reactions
2 Replies
955 Views
kama kuna mambo magumu kuyameza hapa jijini basi ni hili la maji HAPA boko KWENYE Nyumba ZA mradi zilizojengwa na NHC kwa msaada wa mashirika ya kimataifa na kuziuza kwa wananchi kwa bei...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Je kuna ubaya gani kushea user id ya Jamii Forums mimi na mchumba wangu?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MGOMBEA urais wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amekuwa gumzo ndani ya CCM kiasi kwamba mwenyekiti wa chama hicho tawala, Jakaya Kikwete na katibu wake mkuu, Yusuf Makamba walishindwa kujizuia kutumia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kumekuwa na matangazo mikoani ya nayohusu wananchi kujitokeza kwa ajili ya mdahalo au semina SEHEMU ELEKEZI, iliyoandaliwa na EWURA pamoja na TANESCO ili kujadili kuhusu ongezeko hilo la umeme...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
nimepata hii nimeona bora tushee kujua hili ili tupate afya na nguvu ya kuitumikia nchi yetu vyema.... Health Related topics: Healthy living Your...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauliza wakuu mimi najua Jahaz lilikuwa zuri sana wakati linaanza pale walipokuwa wakianza nakibwagizo cha Captaiiiiiiiin!!!Nainafatia habari za magazeti na porojo za hapa na pale!!Lakini sasa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tafsiri ya maamuzi magumu ni pana,ila hapa nataka kuzungumzia uwazi wa jk kuwaambia watanzania ni kivip aliingia madarakani uchaguzi uliopita,akili kuwa yote mabaya watu wanayoyaongea kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
As about 15 million cell phone users in Tanzania join nearly 4billion global mobile phone subscribers, the long hidden truth about the health dangers caused by the devices is finally coming out...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni, simu za mkononi, almaarufu selula, ni vifo mkononi. Miongoni mwa athari zitakazofanya siraili aanze kukubipu wewe mtumiaji, ni matokeo ya...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Napenda kutoa tahadhari kwa wale wote wanaotumia usafiri wa pikipiki katika maeneo yenye shida ya usafiri ambako hakuna usafiri wa uhakika kuwa tujihadhari na waendesha pikipiki ambao wamebuni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unajisaidia kwenye choo cha passport size, mlango wa gunia, katikati ya haja yako nzito, upepo mkali uje upeperushe gunia, je utaficha sehemu gani ya mwili?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom