Lack of political tolerance!

Gsana

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
4,383
1,321
Hi wananchi wenzangu,kipindi cha uchaguzi sio muda wa wanasiasa kupiga ngonjera zao tu bali na sisi waalikwa kuwapima wenzentu. Leo nilikuwa jangwani tangu saa nne asubuhi mpaka giza linaanza kuimalizia jumamosi hii,Chadema inaelekea ikulu ivi ivi kimzaa mzaa! Kinachotia kero ni hawa vibaraka,yani wateure wa watawala waliopewa kuiweka Tbc hewani kukata matangazo ya waheshimiwa wa Chadema kwa visingizio vya ajabu ila sababu ya kupasha habari njema! Waache tu! Pia Tbc wamerusha wagombea wa ubungo pia mama kachanganyikiwa mpaka kashindwa kujibu tuhuma akakimbilia kuhamaki eti ataenda mahakamani kumshtaki mpiga kura wake aliyemhoji swali gumu. Wana Ubungo uyu mumama muogope kama ukome ,mwambie akaendeleze huo umafya wake uko kwenye u DC wake!
 
Mada inaweza kuwa nzuri, lakini wasomaji wakapotezwa lengo. Ndugu zangu tujitahidi:
a) kujifunza zaidi kiswahili fasaha (cha kusema na kuandika);
b) kusoma/kusahihisha maandishi kabla ya kuyapost ili kupunguza makosa;
c) kukwepa sentensi ndefu mno.

Yule mama nilimwona jana anafoka hajui kuwa anaongea na wateja wake ie wapiga kura.
Ile jazba inatosha kumnyima kura
 
Mkuu Njowepo,
Labda ingekuwa vyema mueleze vema kilichoendelea!
Ni mama gani huyo aliyepagawa na kushindwa kujibu maswali?
Wengine tupo huku sweka, hatujui kilichoendelea huko jiji kubwa Dar!
 
Details iko kwnye thread fulani sii kumbuki.... infact inaweza kuunganishwa...
 
Thread hii ni incomplete, haiendani na kichwa cha mada.Mambo yamechanganywa sana hivyo kukosa uelekeo wenye mantiki.
 
Back
Top Bottom