Wafalme wanapotowa funzo kwa viongozi wa kuchaguliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafalme wanapotowa funzo kwa viongozi wa kuchaguliwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gozigumu, Aug 27, 2010.

 1. G

  Gozigumu JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Amiri wa Mji mmoja wa Saudi Arabia ambae ni wa ukoo wa kifalme (prince) amesema atawakatia maji na umeme wakuu wa mashirika hayo mawili ili waelewe adha wanazopata wananchi kwa kukatiwa umeme na kukoseshwa maji.
  Pengine viongozi wetu tunaowachaguwa kwa kura wangekuwa na moyo wa kuwajali walio wengi kama alivyoonyesha mfalme huyu.
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Huku kwetu wakikatiwa watatumia majenereta na ma borehole standby - kwa vile wana pesa tele.
   
Loading...