Jamani Wananchi tujihadhari na hili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Wananchi tujihadhari na hili!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wa mmoja, Aug 27, 2010.

 1. Wa mmoja

  Wa mmoja Member

  #1
  Aug 27, 2010
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasemekana Dawa mseto ya Malaria ina sumu kali ambayo italeta madhara makubwa hapo baadae kwa watumiaji...Itapelekea watu kupooza!
  Jamani watanzania tunamalizwa kwa njia moja au nyingine,vizazi vijavyo sijui vitakuwaje....Nadhani mlikuwa mnafahamu kama hizi dawa zilikuwa kwenye majaribio...Mchawi sio lazima akuloge,matendo yake tu yanaonyesha kama ni mchawi...!
  Take care Wananchi.
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Any scientific proof?
   
 3. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,501
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Mpe benefit of doubt kwa muda kwanza. Ukim-attack unaweza ukaja ukaua mjadala wakati kumbe ni kweli. Ni bora ukakwepa kupitia njia ambayo kuna tetesi kuwa kuna simba mla watu, kuliko kupuuzia tetesi na ukaamua kupita njia hiyohiyo, na wakati huo huo kulikuwa na a similar alternative route na yenye mileage zilezile kwa umbali. Tujadili zaidi badala ya kulenga kutofautiana sana kimawazo!
   
 4. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kuna taarifa waliotoa TFDA niliikutia mwishoni kwa hiyo sikuielewa vizuri ila niliona picha ya dawa mseto, nadhani kuna kitu walimention kuhusu hizi dawa.
   
 5. Wa mmoja

  Wa mmoja Member

  #5
  Aug 27, 2010
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe take care wewe...
   
 6. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hoja hii peleka panapohusika......! Kwa Dr. JF...!
   
 7. Mateso

  Mateso JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2010
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nakuunga mkono mkuu. Nafikiri tulifanyie kazi hili jambo maana hizi dawa watoto wangu ziliwasumbua sana mpaka nikaamua wasizitumie tena. Lisemwalo lipo kama halipo laja. Tufanye kautafiti kadogo tujua ukweli uko wapi.
   
 8. D

  Dick JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa nia njema, japo huna uhakika.
   
 9. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Dah! hizi dawa balaa si kwa watoto tu! mimi niliwahi kuzitumia, Dah nilihindwa kumaliza Dozi halafu nilpoteza network siku tatu.
   
 10. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,354
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Dawa gani hiyo? Maana nisije nikaagiza na kuitumia.
   
 11. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Jamani ni bora tuache kuwapa watu hofu kwa mambo tusiyoyaelewa vizuri na ya kudhani.
   
 12. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  CHa msingi tupeane taarifa sahihi, nadhani kuna madaktari humu JF, watujuze hali halisi ya mseto. Dawa zinabadilishwa kila wakati its crazy you know!! watu wanachukulia PhD hapo kwa kubadili dawa za malaria, wengine wanakula shavu nono hapo tena hawaangalii watumiaji. Lakini Mseto imejaaa kila kona katika mahospitali, Dispensary and madukani. Naona kama kuna mtu anajua hali halisi za mseto atujuze.
   
 13. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Personally hizi dawa zina effect kubwa dawa ukinywa unapoteza uwezo binafsi wa kiafya kwa kweli unakuwa mzoofu kuliko ulivyo kuwa mgonjwa..matibabu ni ya muda mrefu vidonge ni vingi kwa wakati mmoja...rangi inatisha....packing yake ni balaa..nimewahi zitumia baada ya vidoge vinne...SIkurudia ikabidi kumuuliza daktari alternative dawa....Alinate was best kwa kweli.
   
 14. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hizi dawa mseto zilikuja ku-replace dawa aina ya SP akina "Fansida" na wenzake waliosababisha madhara makubwa kwa watu. Kwahiyo uwezekano ni mkubwa kuwa nazo zikawa na madhara maana nazo zinaonekana ziko kwenye majaribio. Kwahiyo kuziuia ni bora kuliko kuponya. You better take precautions.
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sasa tukimbilie wapi wajameni? Hivi kuna mtu anajali afya za watz kweli?
   
 16. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #16
  Aug 29, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Fansidar na Metakelfin ziliwadhuru watu wengi sana, kwa kuwa wengi waliathirika na Sulphur poisoning. Sielewi kwa nini Sulphur iliwekwa kwenye dawa hizo (SP). Masikini, hata mwanaye Magufuli, marehemu Juliana, amekufa kwa ajili ya Sulphur poisoning.

  Kwa hiyo sishangai kuhusu hizi Dawa Mseto!

  Watanzania kila siku tunageuzwa Guinea Pigs, na makampuni ya madawa ya nje, kwa kuwa UONGOZI tuliouweka ni wa KIFISADI, unajali maslahi binafsi.

  Akina Pfizer, na SmithKlineBeecham wanakuja na dawa zao hizo, kumbe wanafanya TRIALS kwenye miili yetu?

  Kama unaweza, Artesunate ndio dawa pekee iliyothibitishwa kuwa nzuri kwa kutibia Malaria bila madhara. Achaneni na UPUUZI wa Mwakyusa na wenzake kule MoHSW!
   
Loading...