Mgonjwa wa kifafa mwingine apatikana jangwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgonjwa wa kifafa mwingine apatikana jangwani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pengo, Aug 29, 2010.

 1. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wadau lile wimbi la wagonjwa wa vifafa limezidi kuongezeka mara dufu baada ya aliyekuwa Boss wa Chadema ndugu Bob Makani kuanguka ghafla katika uzinduzi wa kampeni za chama hicho zilizofanyika tarehe 28/08/2010 katika viwanja vya jangwani.

  Mgonjwa wa kwanza alikuwa mgombea urais kupitia Chadema W. Slaa ambaye alianguka ****** huko Arusha na kuvunjika mkono,akafuatiwa na mgombea urais wa CCM JK na jana bw.Bob Makani.

  Inaonyesha kuwa ugonjwa huo unawashambulia zaidi wakubwa wa vyama vya siasa na si haba hapo baadae tukasikia Mbowe,Lipumba,Makamba N.K nao wakaanguka pia.

  Nawashauri watendaji wa vyama vya ulaji wawafanyie medical checkup kila mara viongozi wao ili wasije kuleta hasara katika taifa.

  Najua watu wajinga watajibu utumbo,hilo halisababishi ukweli kutowafikia.Ukijibu utumbo basi wewe jiweke katika waliopitia shule na kutoa usumbufu kwa walimu bila ya kuelimika(wajinga).Sema kweli palipo na ukweli na Si pasipo na ukweli.
   
 2. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  and JAMIIFORUMS hawakuona hili?....au ndugu PENGO UNAZUSHA?.....haiwezekani kuwa BOB MAKANI KAANGUKA JANGWANI....! haiwezekani....haiwezekani mwanachadema kuanguka...na ndiyo maana hawakuandika...!
   
 3. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamii Forums ni watu makini kwa mambo makini!Lakini si makini kwa yasiyo makini!
  Nakufafanulia(Wanatoa mambo mengi yanayohusu watu makini,vyama makini na wanaficha mambo mengi machafu na uozo wa watu wasio makini na vyama visivyo makini,chunguza utagundua)Na ndio maana hawakutaka hata kuweka neno kuhusu kuanguka kwa Bob Makani!
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  pengo hiyo heading .......hapana kwa kweli! mgonjwa kifafa mwengine?!


  Labda Bob Makani sio mtu muhimu ndio maana kuanguka kwake sio news :eyeroll2:
   
 5. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,867
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Sioni wimbi lolote la viongozi kuanguka mbona!!! Nimesoma magazeti ya leo na kufahamishwa kuwa Mzee Makani hakuanguka bali aliishiwa nguvu kwa sababu ya uzee, ana umri wa miaka 80+. Kuhusu Dr Slaa kumbukumbu zangu ni kuwa alianguka bafuni Mwanza (si Arusha kama Pengo anavyotaka tuamini), na kwa upande wa Mheshimiwa Rasis Kikwete (57) alianguka kutokana na kuishiwa sukari mwilini / kufunga.
   
 6. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  KWA HIYO VIONGOZI/WAHESHIMIWA WA KITAIFA WA CHADEMA WALIOPIGA MWEREKA MPAKA SASA NI 2....? let me know brothers
   
 7. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Unaposema mgonjwa wa kifafa mwengine kaanguka jangwani una maana kuwa aliyeanguka siku ya uzinduzi wa kampeni za chama tawala ni mgonjwa wa kifafa? Hiyo diagnosis umeipata wapi mwenzetu?
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  una uhakika huo ujumbe ni kwa ajili ya Gaijin?
   
 9. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pengooooooooo,ukiandika litu hpa uwe na uhakika nbacho otherwise inakuwa pumbaaaaaaaaa km hio uliyotuletea hapo juu.
   
 10. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  lipi la kushangaa? kuanguka kwa Mzee Bomani, Kuteleza kwa Slaa Bafuni, Au Kuanguka kwa Dr. Kikwete Kule Jangwani?
  Msipende kujaribu kuifunika issue ya kuanguka kwa Dr. jk ionekane Normal kwa kufanananisha na matukio mengine ambayo hata hayafanani jamani.
  Mkuu ana matatizo kiafya ndo maana kaanguka. hii huwezi kabisa kuifanananisha na ajali ya Slaa bafuni wala Kuanguka kwa huyu mzee Bomani.
  Mbona kila kitu kiko wazi?
   
 11. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
   
 12. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa tuliona via TV sikuona kama alianguka labda waliokuwepo live Jangwani wanaweza kutuambia
   
Loading...